Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

Mi wamenichosha yaani juzi nimenunua mud a Wa maongezi kwa mpesa,mpesa imeliwa simu hela hakuna,hy issue ya Kuwa hela unajiunga inagoma hlf unakuta hela yote hakuna ni kawaida sana,sijui mtandao umedata unachanganya na waliokopa,Nina maswali nakosa majibu
 
niliweka buku leo nikajiunga cheka bombastic na walinirudishia meseji kwamba nimefanikiwa lakini cha kuchangaza kila nikijaribu kuperuzi internet inagoma,sasa nikauliza salio linasoma zero hawa jamaa wezi sana
 
Very idiot hawa vodacom, nimenunua salio kwa M-Pesa, ile imeingia tu wamekata 40 hata sijatumia chochote maana ilikuwa Nokia ya torch. Naunga bundle wananiambia hela haitoshi.
 
Kampuni ambayo bw. Rostam azizi ana hisa

nadhani sote twajua huyu jamaa

haya endeleeni kukatwa tu
 
Huu mtandao kwa kweli ni wa kiuni tyu me mpaka sasa siweki salio maana nimeweka maranyigi wana kata salio afu ukiwaliza wana toa majibu mepesi.

Wanauhakika, huna uwezo wa kuwashitaki miaka nenda rudi.
 
Yategemea na simu yako, kama ni hizi simu za kisasa, mara nyingi internet inakuwa ON hivyo ukiweka tu salio, linakwapuliwa. Haya ndo maneno ambayo niliambiwa na customer care wa Voda. Ila ni upumbavu, sababu nami salio langu linapigwagwa panga kwenye kitochi. Wezi sana voda. Tigo nao kituko, nilikopa salio wakanipa 750 sasa ishu eti siwezi nunua kifurushi, yaani nipige na kutuma sms hivyo hivyo kama ile ya kizamani zamani wakati vifurushi hamna. Hii mitandao ni wezi balaa. Ukipiga customer care unakaa karne nzima kabla hawajapokea, wakipokea mawasiliano mabovu. ukipika zaidi ya mara tatu customer care wanaanza kukupiga panga tena. Voda pambaaaaf zao sana, pia tigo pambaaaf zao sana. Shenzzzy taipu! Voda=NBC
 
Simu inakuwa ipo offline na hujajiunga na huduma yoyote inayolipiwa fedha.
Unaweka salio eg TShs 1000, na kujaribu kununua bundle labda ya TShs 1000 inasema salio halitoshi.
Ukiangalia salio unakuta limepungua pengine hadi kubaki TShs 870 huku ikiendelea kupungua kadri dakika zinavyokwenda.
Kwa Voda kuwapata huduma kwa wateja ni ngumu sana.

Naomba msaada namna ya kujiepusha na dhuluma au wizi huu hasa ukizingatia laini inayotumika ni muhimu kwa shughuli zako na kuibadilisha haiwezikani.

Pia, kwa anayejua namna ya kujitoa kwenye hizi huduma sijui nipashe habari, nyimbo, alert nk ambazo huja kama kirusi.

NB:
Nawashukuru Airtel maana wao unanunua moja kwa moja bundle kutoka AirtelMoney na hivyo huwezi kwa namna yoyote kuibiwa fedha yako.

mada yako imekaa ki promo sana, inawezekana kweli unaibiwa lakini vodacom wamaweka uzi humu kwanini usiende kwenye uzi wao ukatoa malalamiko yako?
 
hata mi nimehamia airtel baada ya voda kupunguza vifurush
 
Hii Voda ni hatare! tuanze kampeni za kuhamasishana tuondoke wote ktk mtandao huu wa mafisadi!
 
Simu inakuwa ipo offline na hujajiunga na huduma yoyote inayolipiwa fedha.
Unaweka salio eg TShs 1000, na kujaribu kununua bundle labda ya TShs 1000 inasema salio halitoshi.
Ukiangalia salio unakuta limepungua pengine hadi kubaki TShs 870 huku ikiendelea kupungua kadri dakika zinavyokwenda.
Kwa Voda kuwapata huduma kwa wateja ni ngumu sana.

Naomba msaada namna ya kujiepusha na dhuluma au wizi huu hasa ukizingatia laini inayotumika ni muhimu kwa shughuli zako na kuibadilisha haiwezikani.

Pia, kwa anayejua namna ya kujitoa kwenye hizi huduma sijui nipashe habari, nyimbo, alert nk ambazo huja kama kirusi.

NB:
Nawashukuru Airtel maana wao unanunua moja kwa moja bundle kutoka AirtelMoney na hivyo huwezi kwa namna yoyote kuibiwa fedha yako.

Mkuu cjui unatumia sim ipi baada ya utafiti kidogo nmegundua kuwa cm hiz hasa smart phone huwa zipo online alwayz hvyo kama buddle likiisha ukiwa pesa inaliwa fasta,
Hivyo mm nnapotaka kuwaka pesa kwa mfumo wangu wa sim ya samsang naenda kwenye setting kisha kwenye data usage, na click mobile data, ina logoff mfumo wa internet na kubaki na mfumo wa kawaida, hapo na weka pesa yaan hawakati mkuu..

Ila usiwe umejiunga na hzo blabla zao. Fanya hvo mkuu hutagombana na tigo voda au airtel.japo haya makampun n wezi ila kwa hili tuangalie sim zetu.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu !
Simu yangu ina laini mbili ie Voda na Airtel, laini iliyopo kwenye data ni ya Airtel.
Lkn kila nikiweka salio kwenye Voda linaliwa kwa kasi bila kutumia laini hiyo.
Kuna siku niliweka 2000 nikaja kushtuka kesho yake imebaki 750.
Ukiangalia km wanadokoa TSh 100 kwa kila mteja kwa siku kutokana na mitego waliyoweka
basi ni zaidi TShs 200M per day wanaingiza dirty money !
 
Simu inakuwa ipo offline na hujajiunga na huduma yoyote inayolipiwa fedha.
Unaweka salio eg TShs 1000, na kujaribu kununua bundle labda ya TShs 1000 inasema salio halitoshi.
Ukiangalia salio unakuta limepungua pengine hadi kubaki TShs 870 huku ikiendelea kupungua kadri dakika zinavyokwenda.
Kwa Voda kuwapata huduma kwa wateja ni ngumu sana.

Naomba msaada namna ya kujiepusha na dhuluma au wizi huu hasa ukizingatia laini inayotumika ni muhimu kwa shughuli zako na kuibadilisha haiwezikani.

Pia, kwa anayejua namna ya kujitoa kwenye hizi huduma sijui nipashe habari, nyimbo, alert nk ambazo huja kama kirusi.

NB:
Nawashukuru Airtel maana wao unanunua moja kwa moja bundle kutoka AirtelMoney na hivyo huwezi kwa namna yoyote kuibiwa fedha yako.

Inaonyesha unatumia smart phone,zima mobile data ujiunge halafu ndo uwashe mobile data
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu !
Simu yangu ina laini mbili ie Voda na Airtel, laini iliyopo kwenye data ni ya Airtel.
Lkn kila nikiweka salio kwenye Voda linaliwa kwa kasi bila kutumia laini hiyo.
Kuna siku niliweka 2000 nikaja kushtuka kesho yake imebaki 750.
Ukiangalia km wanadokoa TSh 100 kwa kila mteja kwa siku kutokana na mitego waliyoweka
basi ni zaidi TShs 200M per day wanaingiza dirty money !

Mkuu line ya sim haiamui n mfumo upi ulionao nao consumption ni ile ile, incase uloggoff hyo line moja kama mfumo wako wa sim unaruhusu.

Nnachojua ni kuwa hzi sim za line mbili zinatumia mfumo mmoja wa mawasiliano, hvyo kwenye data network inaweza ikawa inakula japo hujajiunga, ebusha msongamano kwa kulogoff mfumo wa internet thn nunua buddle kisha rud on line,
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu !
Simu yangu ina laini mbili ie Voda na Airtel, laini iliyopo kwenye data ni ya Airtel.
Lkn kila nikiweka salio kwenye Voda linaliwa kwa kasi bila kutumia laini hiyo.
Kuna siku niliweka 2000 nikaja kushtuka kesho yake imebaki 750.
Ukiangalia km wanadokoa TSh 100 kwa kila mteja kwa siku kutokana na mitego waliyoweka
basi ni zaidi TShs 200M per day wanaingiza dirty money !

Voda wana Customer base ya 6.5 Million.
Wakiiba Tah 100 kwa wateja 4M wanakuwa wametia kibindoni Tsh 400,000,000/- kwa siku moja tu

Wakifanya hivyo mara kumi wanatengeneza 4 Billion
 
Yategemea na simu yako, kama ni hizi simu za kisasa, mara nyingi internet inakuwa ON hivyo ukiweka tu salio, linakwapuliwa. Haya ndo maneno ambayo niliambiwa na customer care wa Voda. Ila ni upumbavu, sababu nami salio langu linapigwagwa panga kwenye kitochi. Wezi sana voda. Tigo nao kituko, nilikopa salio wakanipa 750 sasa ishu eti siwezi nunua kifurushi, yaani nipige na kutuma sms hivyo hivyo kama ile ya kizamani zamani wakati vifurushi hamna. Hii mitandao ni wezi balaa. Ukipiga customer care unakaa karne nzima kabla hawajapokea, wakipokea mawasiliano mabovu. ukipika zaidi ya mara tatu customer care wanaanza kukupiga panga tena. Voda pambaaaaf zao sana, pia tigo pambaaaf zao sana. Shenzzzy taipu! Voda=NBC

Sasa hawa matutusa hata kama internet iko on sasa kweli ukatwe hela bila ku-download jamani? Huu ni wizi Wa mchana kweupe!!
 
hameni kkkash mi nimehamia airtel vifrushi wamepunguza sana voda sina ht time na voda
Tatizo Airtel hawajasambaa kona zote kama Voda, otherwise kwa bundle za data bei ya Airtel utaipenda.
 
Back
Top Bottom