Kisange
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 368
- 315
Ngoja nitafute bandoYeah inaweza
Ngoja nitafute bandoYeah inaweza
Ndg naomba link ya mod ya logistic skin ya Tanzania companiesHicho kimod flan unatupia alikitengeneza jamaa mmoja yupo humuhunu kwenye uzi mwingine wa eurotruck kipo kitambo sana hicho kimodi tangu 2015 kama sikosei
Kuna sheli za LAKEOIL na OILCOM
kampuni za maji za bongo za mikoani zipo tofauti tofauti nyingi tu
Brazil moja mkuuKitu kimezama kwenye maji hapoView attachment 1232238View attachment 1232239
Inaandika hiv ikifika asilimia 56 hiv kuna error inaletaView attachment 1232767
Mhhh!! Error Kama hizi nimewahi kukumbana nazo Sana mala ya Kwanza nilitumia ocean of game.mala ya pili ni fitgirl.Inaandika hiv ikifika asilimia 56 hiv kuna error inaletaView attachment 1232767
Mkuu vip umesha pitia njia ile njia ya Amazonia? We ni balaaKitu kimezama kwenye maji hapoView attachment 1232238View attachment 1232239
Ndio inaweza ila hapo kwenye 32 operating system nakushauli ubadilishe iwe 64 ili Mambo yakae sawaNauliza tu..
Processor 2.30Ghz
Ram 4gb
Hd graphics 3000
32 bit operating system
Window 7 premium.
Core i3-2350m
Naweza kucheza magemu mbona naona sielewi elewi halafu hobby yangu magemu hasa magari..
Ndg naomba link ya mod ya logistic skin ya Tanzania companies
Mkuu fanya kupitia link zote za hum Kwan hiyo kitu haiwezi kukosaNdg naomba link ya mod ya logistic skin ya Tanzania companies
Jinsi ya kubadilisha inabadilishwaje mkuu.Ndio inaweza ila hapo kwenye 32 operating system nakushauli ubadilishe iwe 64 ili Mambo yakae sawa
Nimeona file lipo katika uzi huo namba 33 ila nimeshindwa kulidownlosdMakampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach videos linkswww.jamiiforums.com
Kwa mfanoJinsi ya kubadilisha inabadilishwaje mkuu.
Hata Mimi nimeiona.ila NI vyema zaidi ukatumia mod inayoendana na game lako.kwani ukilazimisha utakutana na crash au steam has stopped working.Nimeona file lipo katika uzi huo namba 33 ila nimeshindwa kulidownlosd