Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

hapa kuanzia sandia,untuca mpaka sina kote ni theruji tupu.na ni milima mirefu mno bila kuwa na engine kubwa hupandi ng'o
halafu hiyo theluji mnaikataje? yaani mm Volvo inateleza tu,natafuta ile post ya Rims naweza kuta kuna tyre za kashata labda, maana nimenunua injini ya mwisho kabisa, Lori inapaa ikifika kwenye theluji inachapwa km imesimama
Kwa sasa nimechukua kazi ya kusafirisha greda kubwa nimelitoa SINA linatakiwa masaa 45 lifike YANAHUAYA huko ndiko zile corrugation najua nitatumia stiffness suspension
1573808233209.png
 
ingelikuwa ni wewe hapa je ungepita {hapa kuna kona kumi na nne} na zote ni za aina moja
1573839015226.png

Jamani hayo mabasi mnayanunua wapi? nawaombeni hata moja
hizo kona ukigota kwenye kona ya kulia piga reverse kwenda kushoto, hapo utatoka kwani zile tairi ya nyuma zinakuwa km daraja moja ikitumbukia kwenye shimo nyingine zinainyanyua, lkn Damage ni lazima (labda uitoe) pia muda unapotea sana
 
View attachment 1263929

wewe achana na hili bus .huwezi amini nilipita hapo bila damage lakini nilipoteza mda sana. lakini mission sikuchelewa kama hauamini pakua hili hapahttps://sharemods.com/9537z5zci44p/ets2_1.34_scania_touring.rar.html
 
Download Euro Truck Simulator 2 - V1.35.1.30S [x64/x86] (+All DLCs) - Repack By Symetryczny Torrent | 1337x ndugu noah de voxser tumia link hii kupakua mzigo. ila hakikisha una U TORRENT.ukishamaliza kupakua.
hakikisha unafunga ant virus. before huja install

msaada tutani hapo kwenye Blue , kwani huwa nashambuliwa sana na Kirusi
ina maana nikishatoka kwenye ZIP ya rar ndio niwashe /nifungulie ni run ANT VIRUS na iendelee wakati Inaistall? Kuna Kipindi Kespesky ilikuwa inagoma chochote nisiweke kutoka Internet nikawa naizima ndio naInstall kumbe ni kosa?
ni hapo tu maelekezo
 
iwe wazi wakati wa kudownload ila ifunge wakati wa ku install mpaka installation iwe comprete ndo ufungue antvirus yako WARNING uc scan wakat una install
 
s 730 tani 22 kwenye theruji mambo ni mswano
 
Attachments

  • ets2_20191116_032800_00.png
    ets2_20191116_032800_00.png
    1.3 MB · Views: 2
s 730 tani 22 kwenye theruji mambo ni mswano
Wewe mkali bado hiyo Scania 730e ina horsepower 730 hujaiongezea injini na gearbox kubwa?
mm naweka mpaka engine ya 3400hp haipandi inateleza na theluji natafta hela nikaweke engine ya nwisho kabisa 10000hp
Hapo pananisumbua sana
 
nilipofika hapo nilinyanyua taili za kat ngoma ikapanda kama kawa
 
Wewe mkali bado hiyo Scania 730e ina horsepower 730 hujaiongezea injini na gearbox kubwa?
mm naweka mpaka engine ya 3400hp haipandi inateleza na theluji natafta hela nikaweke engine ya nwisho kabisa 10000hp
Hapo pananisumbua sana
muungulumo wa open paip huwa siupendi ndo maana natumia ya engine ya kawaida
 
usisa hau kwenda masiapo hadi saluni nako ni nouma sana
Hii sehemu naikumbuka kuna crane linapakia miti ya milingoti hapo, barabara ina mawe hasa inabidi ulegeze suspension nilichelewa kidogo.
Nilikuwa natoka CAMERON Game limekufa lote, sijui ni Virus au Computer
sina raha imeniandikia Steam has stop working na kwa Peru Puno nilishafikia Divine Champion stage 872 level
nimeanza upya kuZIP ndio kabisa imegoma nikadelete ETS-2 kote mpaka Document bado imegoma kuanza, sijui mnaanzia wapi wenzangu au niDownload upya
1573932051763.png
 
Back
Top Bottom