Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mambo ya andes Peru haya
ets2_20191029_043620_00.jpeg
ets2_20191029_043029_00.jpeg
ets2_20191029_015453_00.jpeg
ets2_20191028_234405_00.jpeg
 
Haha ndio mkuu chuma imepack ina week sasa... alaf mdau anaionyesha mikona hiyo kupagawishana tu
Inshu iko sehemu 1usipo kua na injini yenye power. Kuna baadhi ya maeneo haupiti kabisa. Kwani kuna milima mirefu na yenye barafu yakutosha.kwa mfano hapa
Ni scania s730 harvy cargo. Lakini lilipelea
ets2_20191029_043620_00-1.jpeg
 
Back
Top Bottom