Jinsi ya kuichakachua wajanja night offer

Jinsi ya kuichakachua wajanja night offer

Ila kweli nimeamini mtu kama huyu hata ufanye juhudi kubwa ukamfikisha kwa mungu, mwisho wa siku atakwambia nataka nipaone kwa shetani
 
Jamani mbona mwanisakama ki hivyo?
Hivi nimefanya kosa kuuliza?
 
Jamani mbona mwanisakama ki hivyo?
Hivi nimefanya kosa kuuliza?

acha tukusakame tu mkuu maana twakuona wataka kukata mrija wetu tunaonyonyea, we umeona ni kampuni gani ya simu iliyotoa ofa kama hiyo angalau ya kudownload 500MB kwa hiyo nauli ya mwanafunzi angalau hata saa 8 usiku?
 
Jamani, hata kwa Sh.200 bado tunataka kuchakachua? Mbona saa 4 ni muda wa kawaida kabisa?
 
Mimi nimeuliza kama kunauwezekano wa kusaidiwa nitumie muda wa asubuhi- jioni ili kupunguza adha ya kukesha sasa hayo ya kuifanya ifutwe yanakujaje yakhe?
Sio kwavile umepewa fursa ya kushusha vi2 ndo basi tena kila cku ukeshe uki-download hata usivyo na haja navyo!! Shusha mambo when necessary,
 
mbongo n mbongo tu hata kama htaki,yan we unataka upitlze wakat umepewa bure
 
Balaa lishaanza maana hii kitu iliyokwa tambarale sasa inabuffer kama haina akili nzuri.
hawa wa kuzuka wanataka kutuharibia huu mziki wakati bada tunauhitaji sana, vipi makamanda wengine wa kubundi mko swafi huko?
wajanja.jpg
 
Nadhani wote wanaonivunja nguvu hawana kitu kama mimi hivyo nawasubiri wenye moyo wa kunisaidia sio nyie ponda ponda
 
Nyie ndo wale mnaopewa lift mnataka na kupiga honi....
 
Back
Top Bottom