SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,256
- 2,196
Wanandugu/wanajamii ni kipindi kirefu sasa ninatumia wajanja night offer inayoanza saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi.
Nilichogundua ni kwamba hii offer inakuwa active ndani ya 24 hrs ila wamezuia nyakati za mchana sasa wana jamii je hakuna uwezekano wa kuibypass ili iwe full24 hrs itupunguzie adha ya kuwanga usiku mnene.