Jinsi ya kuhifadhi mahindi yasiharibike

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,034
12,596
Nimefanikiwa kulima mahindi kwa mara ya kwanza gunia kama 100 hivi ila nahitaji kuzihifadhi store, ni dawa gani nzuri ya kutumia maana kuna wadau wananiambia ninunue mifuko inauzwa Tsh. 5000/= kuhifadhia naona ni gharama sana.
 
Mkuu haziitwi dawa zinaitwa sumu, dawa zinatumika kwa ajili ya katibu, na sumu kwa ajili yankuangamiza/kuua. sasa hizo unazotafuta wewe ni sumu sio dawa.
Zipo dawa mkuu wanaofanya hizi shughuli wanaelewa
 
Sumu inawekwa kwenye chakula/mahindi

Hapo kuna usalama kwa mlaji.!?
 
Back
Top Bottom