- Thread starter
- #21
hahahaa haya mkuu ahsanteHahaha sawa ndugu Khalid kama unaendea jambo la kheri basi twakuombea, ila unyoe ndevu
hahahaa haya mkuu ahsanteHahaha sawa ndugu Khalid kama unaendea jambo la kheri basi twakuombea, ila unyoe ndevu
Ahsante sana mkuuMsumbiji ni kupanda bus mpaka Lilongwe pale hayo Taqwa ukifika Lilongwe unapanda Bus linalopita Desza border au Mwanza yote yanafika Maputo ila hili la Desza linapitia Daraja la Tete...ukifika Lilongwe sio mbali anaekuja Tanzania ni mbali zaidi kuliko wa huko Tete na Maputo watawahi kufika...
Hio njia ni fupi sana. Ila sijawahi kupita. Watu wengi hawaijui hii njia ndio maana wanatumia Ile ya lilongwe hadi tete kisha Maputo,huo ni mwendo wa siku kama 4.panda basi mpaka Songea,za super feo au Newforce nauli ni 58,000 zinaingia usiku, utalala kesho yake panda gari zinazoenda border au Congress kwa jina jingine border nauli 10,000 Zinaondoka saa 4 asubuhi,pale utakutana na border ya Tanzania na Mozambique, utaingia saa 8 mchana
Kutoka border mpaka Mji mmoja unaitwa Lichinga nauli 1500 mts sawa na Tshilings 58,000 utaingia kuanzia saa 3 usiku, kesho yake alfajili utapanda gari la kwenda Maputo ni siku 2 na nusu au siku 3 nauli, 4,800 sawa na Tshilings 152,000
Faida ya hii njia ni kalibu, gharama nafuu halafu unavuka inchi moja kwenda nyingine na hutasumbuka lugha kivile maana utatumia kiswahili tu mpaka unaingia maputo
unaenda kufanya nini2026 naingia msumbiji
Mambo ya biashara tuu mkuu..unaenda kufanya nini
Hakuna usalama huko unadhani kwa nini watu wanapenda kuzunguka mkuu...Usalama kwanza ndio mambo muhinu kwenye safari huko kipande kikubwa ni pori na bara bara ya Vumbi..ukiachilia mbali hao Islamic wapo wanaoteka magari huko...Hio njia ni fupi sana. Ila sijawahi kupita. Watu wengi hawaijui hii njia ndio maana wanatumia Ile ya lilongwe hadi tete kisha Maputo,huo ni mwendo wa siku kama 4.
Ila hii ya songea lichinga ni fupi ingawa toka songea hadi boda ya msumbiji ( kilometa 120) barabara bado hawajamaliza kupiga lami.Lakini kuna mtu aliniambia upande wa msumbiji ni lami
Na huku upande wa lichinga hauna Wale Islamic state,hivo ni salama kwa kiwango kizuri
Noma naona ndonya tuMwaselwa bwanji akuru, koma mlikuti tikupacheni msio wa bwino wakufikila pamaputo.
Ahsante mkuu kwa mchanganuo wa mpaka gharama halisi kabisapanda basi mpaka Songea,za super feo au Newforce nauli ni 58,000 zinaingia usiku, utalala kesho yake panda gari zinazoenda border au Congress kwa jina jingine border nauli 10,000 Zinaondoka saa 4 asubuhi,pale utakutana na border ya Tanzania na Mozambique, utaingia saa 8 mchana
Kutoka border mpaka Mji mmoja unaitwa Lichinga nauli 1500 mts sawa na Tshilings 58,000 utaingia kuanzia saa 3 usiku, kesho yake alfajili utapanda gari la kwenda Maputo ni siku 2 na nusu au siku 3 nauli, 4,800 sawa na Tshilings 152,000
Faida ya hii njia ni kalibu, gharama nafuu halafu unavuka inchi moja kwenda nyingine na hutasumbuka lugha kivile maana utatumia kiswahili tu mpaka unaingia maputo
Mkuu achana na hiyo njia ya songeaAhsante mkuu kwa mchanganuo wa mpaka gharama halisi kabisa
Kuti ya misenaMwaselwa bwanji akuru, koma mlikuti tikupacheni msio wa bwino wakufikila pamaputo.
Utapata hasara bure, viza ya Marekani unaomba kwenye nchi yako au nchi ya ugenini ambayo una makazi ya kudumu yani residence permit.naenda US embassy mkuu, ya kwetu imejaa hakuna appointments kabisa
Aliyekudanganya nani mkuu? Hivi mimi ninayepita kila siku kwenda na kuludi na wewe nani mkweli?Mkuu achana na hiyo njia ya songea
Kuna mapori makubwaaa sanaa
Waasi huteka magari huko
Njia ya kutoka Dar to lilongwe nayo nimepita, tatizo inausumbufu sana halafu ndefu, ukifika tu kasumulu border Immigretion tu wa Tanzania wasumbufu, lazima ujiandae na 30,000 ya Vasination card, hapo hujaingia Malawi ni rodblock kalibu kila sehemu panda shuka sachiwa, na hasa ukiwa mgeni, mpaka utakapovuka ingalau border ya Dedza ya Malawi na Mozambique kidogo usumbufu utapunguaMkuu achana na hiyo njia ya songea
Kuna mapori makubwaaa sanaa
Waasi huteka magari huko
ilikuwaje hii tupe story kidogoDah Maputo jiandae na swala la lugha aiseeeee wale jamaa kingereza ata cha kuomba maji ni shida sn nilipata tabu sn Maputo, nilikuwa nataka line nikisota wn
Mkuu hii ni mihemuko au?Hebu pitia pitia basi kabla hujaropoka. I know what I am doing with evidence.Utapata hasara bure, viza ya Marekani unaomba kwenye nchi yako au nchi ya ugenini ambayo una makazi ya kudumu yani residence permit.
Muwe mnauliza vitu vingine siyo kukurupuka tu.
Kama pesa yako haina kazi njoo banana tule kitimoto tutowe shavu viza hupewi unless uwe na special case.
hahah pole sana inabidi kutumia translator kwakweliDah Maputo jiandae na swala la lugha aiseeeee wale jamaa kingereza ata cha kuomba maji ni shida sn nilipata tabu sn Maputo, nilikuwa nataka line nikisota wn