Jinsi ya kuenjoy JF

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,549
Laifu linasonga fresh wanangu?

Ukijua kuitumia JF ni raha sana! Tatizo ni pale mtu anapotaka kuchukulia everything serious, matokeo yake anajipa stress za bure tu! Je unataka kuwa peace na kila member wa JF? Hebu jifunze kidogo!

1/ Soma kwa makini post/comment
Baada ya kufungua thread ipitie kwa umakini ili uilewe inahusu nini na ipo jukwaa gani, sio ipo Chit-Chat then wewe unajibu kisiasa, utaboa!

2/Don't take everything serious
Karibu 70 +% ya post zote za JF Social forums hasa MMU ni chai/fix. Kama umegundua jamaa ni muongo mezea tu usilete ushuzi na kuchafua hali ya hewa, haikuhusu!

3/Mreply mtu kama alivyopost/comment
Mtu kaandika kwa utani, mjibu ivoivo, aliyeandika kichokozi, mjibu ivoivo, ambaye yupo serious, mjibu kiserious na anayetukana .......ignore it kimtindo!!!

4/ Gundua lengo la post/thread ni nini
Kila mwanzisha mada ana lengo lake, linaweza kuwa ni kuchekesha, kuelimisha, kuomba ushauri, kukashifu, majivuno n.k... Sio mtu anaomba ushauri wa maana wewe unajibu fyoko, kama huwezi ukikaa tu kimya kwani utapungukiwa nini?

5/Jiepushe kuwatajataja watu (members)
Mtu ambaye akianzisha thread au akipost kazi yake ni kutajataja tu majina ya members maarufu bila sababu za msingi ni dalili ya kutafuta kick na kutojiamini!

Ukiandika kitu kizuri kitajulikana tu bila hata kuwatajataja masupastaa!

***Kama hujaelewa, try everything***

Bishoo la Town
The Bitoz
 
umaarufu hautafutwi unakujaga auto kulingana na kazi yako, nakuhakikishia MziziMkavu akipost uzi wake mmoja thamani yake ni sawa na thread zako za mwezi mzima kijana
 
Kumbe umeandika kutafuta kick na post zako za kitoto kabisa balehe za smart phone ni tatizo sana
 
Back
Top Bottom