Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
Wadau za mda huu.Natumai muwazima.
Ndugu zangu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload video kutoka U tube kwan kuna video ya muhimu sana kwa shughuli zangu ila ndo ivo siwezi.Simu nliyonayo ni HTC inauwezo mzuri tu.Natanguliza shukrani
mkifanikiwa muwe mnatoa shukrani basi as feedback
Mwishi wa matatizo ni tubemate.Ila haipo playstore,wtafuta kwenye web