Jinsi ya kuchezea TOTOZ...

Afu Wilbert1974 uwe unakuwa makini na hizo title, mi nimeingia nikiwa nimejiandaa kupata course ya kuchezea totoz, kumbe mtoto ORIGINAL!!?




Umenitangulia vuzuri mkuu,mimi nimeingia humu mbio nikijua nitakutana na kozi ya kumkimbiza mchakamchaka mama watoto......
 
Mods! mwongozo kuhusu neno totoz. Linatumiwa vibaya!
 
kuna tofauti kati ya watoto na totoz mkuu....nimefungua kwa spidi mia
 
Wacha nipumzike kwanza manake speed niliyokuja nayo mhh
 
Hii kitu imejaa utata, kwanza nilidhani TOTOZ kumbe mtoto! Alafu nilidhani KUCHEZEA... kumbe kumbe kumrusha rusha juu mtoto. Ungeandika angalu hivi: Unapomrusharusha juu mtoto, fanya hivi.

Lazima uwe dhaifu weye! Kwani unapomrusharusha mtoto si ndo kumchezea huku?! Halafu umamrusha amekuwa ndege?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…