Jinsi ya kucheat dream league game

Jinsi ya kucheat dream league game

njia ya uhakika
-root simu
-install app za kucheat kama game guardian au sb game hacker
-fungua app ya kucheat halafu fungua game angalia coins zako halafu search hio idadi ya coin kwenye app ya kucheat yatakuja majibu, tumia kidogo coin search tena, rudia process hadi utapata result moja tu ibadili hio result eka 999999999 utapata coin za kutosha.

kwa mara ya kwanza nenda youtube utaelewa zaidi jinsi ya kusearch.

-pia njia hii sio coin tu unaweza badili almost anything mfano unaweza wajaza nguvu wachezaji wote wakawa na uwezo wa 100 kwenye speed, stamina, defending, attacking, shooting etc
Pamoja mkuu nimekupata
 
Kwa kutumia lucky patcher kuna hatua kadhaa ilikuweza kufanikisha unacho taka.
 
Ebu cheza ww game uon kanutapata ela ya kununua wachezaji 11 na tengeneze uwanja en zen u change jezi ofcoz uwa develop wachezaji kama unaona ni simple

cheza game wewe, ebu cheki sie wachezaji nina coins za kutosha na wachezaji wote ninaowapenda
8790080ce752d022400741224790d24e.jpg
 
Wakuu ni njia gan ntafanya nicheze mech online na wabongo wenzang huwa nahisi nacheza na waarabu na wazung kila wakati
 
Wakuu ni njia gan ntafanya nicheze mech online na wabongo wenzang huwa nahisi nacheza na waarabu na wazung kila wakati
Online unachezaje mbona mm naona linakua zito sana?
 
Either network hapo ulipo ama uwezo wa kifaa unacho tumia ila unaweza play vzur tu bila shida kabisa
Mm nimejarbu mara mbili still wachezaji wanaenda slow sana..natumia galaxy s4..niko na halotel
 
Jarb ile mida ya alfajir sana uone, kama bado inazingua cjui itakuwa na shida gan, Binafs nimechezaga mpaka nkafika 'tier one' bila shida
 
Itafute apps inaitwa freedom tatizo lako litakuwa limekwisha... Lucky patcher inawezanila kwa uzito wako wakuelewa freedom itakurahisishia kila kitu mpaka kununua apps for free.
Kwabmatatizo mengine nitafute.
 
Ndio ulev wangu hapa nataka kumnunua Sanchez coins hazitosh wakaniletea nikope 2500 ndio nasubiria bado ina load
 
Itafute apps inaitwa freedom tatizo lako litakuwa limekwisha... Lucky patcher inawezanila kwa uzito wako wakuelewa freedom itakurahisishia kila kitu mpaka kununua apps for free.
Kwabmatatizo mengine nitafute.
Hiyo freedom ni kwa tatito la kucheza online au kuhack coin?
 
Itafute apps inaitwa freedom tatizo lako litakuwa limekwisha... Lucky patcher inawezanila kwa uzito wako wakuelewa freedom itakurahisishia kila kitu mpaka kununua apps for free.
Kwabmatatizo mengine nitafute.
Kwangu dream soccer league linagoma linasema need addition from play store ili niweze kucheza
 
Kwa kikosi hichi hata hutoona raha ya mchezo maana umekamilika kila idara maana yake ww ni kushinda kila game iliyombele yako
Kaka naomba link itakayo nipeleka moja kwa moja kudownload,,bila ya matatizo na kuweza kucheza safi
 
Kwa kikosi hichi hata hutoona raha ya mchezo maana umekamilika kila idara maana yake ww ni kushinda kila game iliyombele yako

niko kwenye elite division kwa hiyo sio rahisi kama udhaniavyo
 
Back
Top Bottom