Jinsi ya kucheat dream league game

cheza game wewe, ebu cheki sie wachezaji nina coins za kutosha na wachezaji wote ninaowapenda
8790080ce752d022400741224790d24e.jpg
We jamaa n shabk wa arsenal.
 
Chezen game kwa haki wakuu, mambo ya cheat ni kutokujiamini, alf inafanya uchoke game mapema maana hutakuw na mission tena!
True Sir, yani hizi cheating zimefanya nikose game la kucheza naona yote tu yananiboa
 
njia ya uhakika
-root simu
-install app za kucheat kama game guardian au sb game hacker
-fungua app ya kucheat halafu fungua game angalia coins zako halafu search hio idadi ya coin kwenye app ya kucheat yatakuja majibu, tumia kidogo coin search tena, rudia process hadi utapata result moja tu ibadili hio result eka 999999999 utapata coin za kutosha.

kwa mara ya kwanza nenda youtube utaelewa zaidi jinsi ya kusearch.

-pia njia hii sio coin tu unaweza badili almost anything mfano unaweza wajaza nguvu wachezaji wote wakawa na uwezo wa 100 kwenye speed, stamina, defending, attacking, shooting etc

Kwa ios je
 
Back
Top Bottom