Jinsi ya kucheat dream league game

niko kwenye elite division kwa hiyo sio rahisi kama udhaniavyo

ce0af97d65599f01910e6fb74b4cf59d.jpg

elite division mbn ya kawaida sanaaa...me naongza ligii nmewaacha mbali na round ya 1 nlichukua kombe
 
Kaka naomba link itakayo nipeleka moja kwa moja kudownload,,bila ya matatizo na kuweza kucheza safi
Ukifungua hiyo game ikitaka data kutoka playstore accept.
Au futa kabisa hiyo game kisha nenda playstore I download upya. Ikimaliza kama utahitaji kuichakachua basi ni pm.
 
Kwa kikosi hichi hata hutoona raha ya mchezo maana umekamilika kila idara maana yake ww ni kushinda kila game iliyombele yako
Mkuu hii game mwanzo waweza idharau na ukajiona mshindi ila ukifika elite na huna coins za kutosha lazima tu kila mechi uchezee kichapo.
 
Mkuu hii game mwanzo waweza idharau na ukajiona mshindi ila ukifika elite na huna coins za kutosha lazima tu kila mechi uchezee kichapo.
Nimeangaika nayoo hPo Elite nashang najikuta nafac ya 7 kama Arsenal kila mudaa mpka nikaamua kulifutaa maana linanisumbua kichwa tuu
 
Nimeangaika nayoo hPo Elite nashang najikuta nafac ya 7 kama Arsenal kila mudaa mpka nikaamua kulifutaa maana linanisumbua kichwa tuu
Ungetakiwa kuwa na coins ambazo zutakuwezesha kununua wachezaji wazuri au ku training wakwako na kuwatibu ili wawe na nguvu.
 
s̲̅a̲̅m̲̅a̲̅h̲̅a̲̅n̲̅i̲̅ h̲̅i̲̅i̲̅ s̲̅y̲̅s̲̅t̲̅e̲̅m̲̅ n̲̅a̲̅w̲̅e̲̅z̲̅a̲̅ n̲̅i̲̅k̲̅a̲̅i̲̅t̲̅u̲̅m̲̅i̲̅a̲̅ k̲̅w̲̅e̲̅n̲̅y̲̅e̲̅ p̲̅e̲̅s̲̅ c̲̅l̲̅u̲̅b̲̅ m̲̅a̲̅n̲̅a̲̅g̲̅e̲̅r̲̅!!!?
 
s̲̅a̲̅m̲̅a̲̅h̲̅a̲̅n̲̅i̲̅ h̲̅i̲̅i̲̅ s̲̅y̲̅s̲̅t̲̅e̲̅m̲̅ n̲̅a̲̅w̲̅e̲̅z̲̅a̲̅ n̲̅i̲̅k̲̅a̲̅i̲̅t̲̅u̲̅m̲̅i̲̅a̲̅ k̲̅w̲̅e̲̅n̲̅y̲̅e̲̅ p̲̅e̲̅s̲̅ c̲̅l̲̅u̲̅b̲̅ m̲̅a̲̅n̲̅a̲̅g̲̅e̲̅r̲̅!!!?
No hutoweza nadhani utumie only playstore
 
No hutoweza nadhani utumie only playstore
s̲̅a̲̅m̲̅a̲̅h̲̅a̲̅n̲̅i̲̅ u̲̅n̲̅a̲̅m̲̅a̲̅a̲̅n̲̅i̲̅s̲̅h̲̅a̲̅ k̲̅w̲̅a̲̅m̲̅b̲̅a̲̅ p̲̅e̲̅s̲̅c̲̅m̲̅ w̲̅a̲̅n̲̅a̲̅ s̲̅t̲̅r̲̅o̲̅n̲̅g̲̅l̲̅y̲̅ s̲̅e̲̅c̲̅u̲̅r̲̅i̲̅t̲̅y̲̅ k̲̅w̲̅a̲̅m̲̅b̲̅a̲̅ m̲̅t̲̅u̲̅ h̲̅u̲̅w̲̅e̲̅z̲̅ c̲̅h̲̅e̲̅a̲̅t̲̅!!!?
 
Yaaaaaa
 
Itafute apps inaitwa freedom tatizo lako litakuwa limekwisha... Lucky patcher inawezanila kwa uzito wako wakuelewa freedom itakurahisishia kila kitu mpaka kununua apps for free.
Kwabmatatizo mengine nitafute.
Hii freedom IPO play store?
 
njia ya uhakika
-root simu
-install app za kucheat kama game guardian au sb game hacker
-fungua app ya kucheat halafu fungua game angalia coins zako halafu search hio idadi ya coin kwenye app ya kucheat yatakuja majibu, tumia kidogo coin search tena, rudia process hadi utapata result moja tu ibadili hio result eka 999999999 utapata coin za kutosha.

kwa mara ya kwanza nenda youtube utaelewa zaidi jinsi ya kusearch.

-pia njia hii sio coin tu unaweza badili almost anything mfano unaweza wajaza nguvu wachezaji wote wakawa na uwezo wa 100 kwenye speed, stamina, defending, attacking, shooting etc
Eti eeenh
 
Back
Top Bottom