Jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-PESA

Jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-PESA

CHADEMA

Political Party
Joined
Apr 13, 2013
Posts
495
Reaction score
2,540
MPESA
1. *150*00#
2. LIPA KWA MPESA- CHAGUA NAMBA 4
3. INGIZA NAMBA YA KAMPUNI AMBAYO NI 213040
4. INGIZA KUMBUKUMBU YA MALIPO UTAANDIKA M4C (ikifuatiwa na jina ila sio lazima )
5. WEKA KIASI
6. NAMBA YA SIRI
7. THIBITISHA
 
mm nitachangia kesho laki tatu m-pesa namwona pinda yupo live startv naye anachangia pesa za uraisi
 
BI30PR334 Imethibitishwa. Tsh100,000
imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED
kwenye akaunti namba M4C tarehe
31/10/14 saa 11:08 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh860,825.
 
hiyo pesa bora hata upeleke kwa watoto yatima,maskini mnachangia,then kina Mbowe wanakikopesha chama baadae wanajilipa kwa riba,amkeni watanzania.Mtaibiwa mpaka lini?

mbona pinda yupo live startv anaomba msaada wa pesa anazipeleka wapi kila kitu kina nafasi yake ukawa ndo habari ya.mjini tutachangia mpaka mwisho
 
pamoja sana makamanda,tunatwanga kotekote. wakati migamba inashobokea ufisadi ngoja sisi tujenge chama.
 
hiyo pesa bora hata upeleke kwa watoto yatima,maskini mnachangia,then kina Mbowe wanakikopesha chama baadae wanajilipa kwa riba,amkeni watanzania.Mtaibiwa mpaka lini?

nyerere walichangishana sumni ,sijui kama unaifahamu , kwa maana ilikua bado aujazaliwa.
 
hiyo pesa bora hata upeleke kwa watoto yatima,maskini mnachangia,then kina Mbowe wanakikopesha chama baadae wanajilipa kwa riba,amkeni watanzania.Mtaibiwa mpaka lini?

Ni bora tutoe kwa hiyari kuliko kulazimishana wizi wa mchana kwa kiosingizio cha michango ya maabara.MaCCM lazima mjambe cheche,kudadadek!
 
Ni bora tutoe kwa hiyari kuliko kulazimishana wizi wa mchana kwa kiosingizio cha michango ya maabara.MaCCM lazima mjambe cheche,kudadadek!

Kweli kabisa, Ni bora tuchangie M4C kuliko kuchangia mwenge ambao unachangia kasi ya maumbikizi ya ukimwi. Kwanza mwenge ni sanamu halafu mtu anasema unaunganisha watu, toka lini sanamu ikaunganisha watu? labda kuwaunganisha wapeani vvu.
 
Mimi natoa 500 hela tunachangia halafu hatuambiwi pesa zinavyotumika.
 
Kweli kabisa, Ni bora tuchangie M4C kuliko kuchangia mwenge ambao unachangia kasi ya maumbikizi ya ukimwi. Kwanza mwenge ni sanamu halafu mtu anasema unaunganisha watu, toka lini sanamu ikaunganisha watu? labda kuwaunganisha wapeani vvu.
Mbona m4c ndiyo full ngono hakuna la maana hata moja mnalofanya kwenye mikusanyiko yenu wazinzi tu,chama gani kimelenga kukusanya pesa tu bila kuwatumikia watu wake.
 
Tumeanza na MUNGU tutamaliza na MUNGU
 
Wachaga washapata dili ikifika kwenye hela ukawa pembeni ni m4c.
 
Matumizi yanapangwa na Lema na Mbowe. Ole wake mwanachadema ahoji kuhusu matumizi.,lazima afukuzwe kwenye chama
 
mpesa acount haina pesa nikienda kazin nitatupia buku kumi. pamoja makamamda ukombozi unakaribia
 
Back
Top Bottom