TexasR
Member
- Jan 31, 2017
- 67
- 91
Ndugu zangu namatumaini nyote ni wazima,mimi ni mtanzania nimemaliza form 6 mwaka 2013 na sasahivi nipo chuo muhimbili Environmental health,Swali langu ni juu ya ubadilishaji majina yangu ambayo yapo kene vyeti vyangu vyote mpaka sasa,nataka kurekebisha jina langu kidogo au nilibadilishe kwa sababu za kifamilia,je inawezekana?na kama inawezekana haiwezi athiri mambo yangu hapo baadae?na Kama kuna mtu anashughulika na mambo hayo naomba kujua.Ahsanteni ndugu zangu