Jinsi ya kuapgred vision ya android

Jinsi ya kuapgred vision ya android

Joined
Oct 17, 2013
Posts
18
Reaction score
3
Jaman kwa anae jua jinsi ya kuapgred vision za android naombei mnisaidie kwa hilo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Labda sijui mimi,mbona simu yake ni blackberry?unataka android ya nn?fafanua zaidi ,unaversion gani?
 
Mkuu labda ufafanue Brand ya simu yako. Kama ni BB, BB haina Andoid OS mkuu
 
mimi niliupgrade juzi juzi tu hapa form v2 to v4.1.2 simu yangu ni Samsung g s2 na nilisearch google to official update for s2 nikachagua ile latest ikaniletea website ya kudownload na maelezo yake..then nika update...
 
Simu yangu ni Nokia Lumia 620. Features zake ni Microsoft Window Phone 8, Upgradable to WP8 Amber. Napata tatizo kwenye WhatsApp pale ninapotaka kutuma picha au video ambayo ninayo tayari kwenye Memo card au Phone memo. Hainipi option ya kuchagua kutoka huko, hata ukianzia kwenye picha au video yenyewe iliyohifadhiwa tayari, badala yake inanilazimisha kupiga picha mpya au video mpya ndipo iitume kwenye WhatsApp. Nifanyeje?
 
mimi niliupgrade juzi juzi tu hapa form v2 to v4.1.2 simu yangu ni Samsung g s2 na nilisearch google to official update for s2 nikachagua ile latest ikaniletea website ya kudownload na maelezo yake..then nika update...

Natumia Galaxy GT-S7562, ina Android v4.0.4(Icecream Sandwich). Nataka ku-upgrade kwenda Jelly Bean v4.1 au v4.3.

1. Mahitaji ni yapi?
2. Steps za kufuata ni zipi?

#chief-mkwawa , #njunwa , #Mwl .RCT, #donluchese etc mko wapi jamani mtupe darasa huru.
 
Achen uvivu tutorial kibao zimejaa youtube

Poa, wacha nijaribu huko(youtube).
Issue sio uvivu, tatizo ni sehem gani nitapata maelekezo yaliyo sahihi. Nime-google nimezipata kadhaa za cyanogen mod 10.1 bt inaoneka hii sio safe way na ina madhara.
 
Nna cm mbili bhana blackberry na samsang vision yake n 2.3

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom