Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha mafuta

Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha mafuta

umetoa summary ndogo mno,tulia uandike kitu kimekamilika.
unataka kuanzisha kiwanda cha mafuta gani?sehemu gani?una mtaji kiasi gani?Ushapata supplier wa raw material?una mashine tayari?
Au unataka msaada tu wa procedure za kufata jinsi ya kuanzisha kiwanda toka serikalini?
Kaa chini uje na maelezo ya kutosha ili wadau wakupe info za unacho kitaka sio jinsi ulivo andika kwa ujumla hata bila maelezo
 
Back
Top Bottom