Jinsi ya Kuanzisha gazeti Tanzania

Jinsi ya Kuanzisha gazeti Tanzania

Utotole

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,608
Reaction score
4,266
Amani kwenu nyote.

Nia ya bandiko hili ni kuomba msaada kwa wale wenye taarifa au wameshapitia mchakato huu wanisaidie maelezo na utaratibu jinsi ya kuanzisha gazeti la kila siku au kila wiki hapa nchini Tanzania. hapa namaanisha ni hatua zipi na mahali gani natakiwa kwenda, kufanya nini na pia nikiwa na nini.

nashukuru kwa michango yenu yenye kujenga ili nipate mwanga na hatimaye nianzishe mchakato huu ulio katika fikra zangu.

Asanteni.
 
Amani kwenu nyote.

Nia ya bandiko hili ni kuomba msaada kwa wale wenye taarifa au
wameshapitia mchakato huu wanisaidie maelezo na utaratibu jinsi ya
kuanzisha gazeti la kila siku au kila wiki hapa nchini Tanzania. hapa
namaanisha ni hatua zipi na mahali gani natakiwa kwenda, kufanya nini na
pia nikiwa na nini.

nashukuru kwa michango yenu yenye kujenga ili nipate mwanga na hatimaye
nianzishe mchakato huu ulio katika fikra zangu.

Asanteni.

Ni PM Haraka
 
Mkuu Mtumwa Baniani weka vitu hadharani watu wenye malengo ya biashara kama hizi tufahamu..acheni kufichafich mambo!
 
Soma Tanzania newspapers Act 1976 inatoa yote,ukiahindw tafuta usaidizi kutoka kwa mwanasheria
 
Back
Top Bottom