Jinsi ya kuandaa Server Binafsi Kwaajili ya Website & Email

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
Jamani nimehangaika na free hosting mpaka nimechoka sasa nna mpango wa kuandaa server yangu ambayo itakuwa inarun 24/7. Naomba wataalamu mtiririke hapa mahitaji yooote yatakayoweza kufanikisha azma hii na configuration zote kwa ujumla.

Mpaka sasa nna desktop computer ambayo nataka niibadilishe iwe server.
 
nyasiro kwanza nisamehe kwa kupotea, ila kuanzia leo nipo kwa wingi,

uo umeme wa ku run 24/7 utaupata wapi? wait narudi tena baadae
 
Last edited by a moderator:
Unataka ku host nini? Website ya forum, blog, matumizi binafsi, muziki, e-commerce, file transfer email? etc

Utatumia Operating System gani? Windows, Linux, Unix, Ubuntu etc?

Utatumia databases au itakuwa web pages tu?

Halafu mdau kauliza swala la umeme hapo juu, muhimu sana.

Una utaalamu wa web security? Ukiweka server utaweza kuli secure?

What about technical support? Likibuma na watu wanataka service nani atakusaidia?
 
Kiranga nadhani uyu bwana nyasiro anataka kutengeneza personal server kuhost website zake na za watu wa karibu, nnamfahamu kiasi kwa hiyo najua ujuzi wake kuhusu kuconfigure ataweza akipigwa msasa,ila technically ndio ishu, kama ulivosema hapo juu, kuna vitu kama;1. hardware, angalau uwe na mashine ram sio chini ya 4GB, na hdd ukubwa utakaoweza kutegemea mahitaji yako2. operating system; windows? ubuntu? etc3. un interruptable power supply,4. full time internet connection (hapa hunidanganyi kwa tanzania ni ngumu sana)5. ulinzi wa server yenyewekwa mtazamo wangu; tumia mini servers ambazo ziko pre configured mfano xampp kisha unaigeuza kuwa server kamili
 
Last edited by a moderator:
nyasiro kwanza nisamehe kwa kupotea, ila kuanzia leo nipo kwa wingi,

uo umeme wa ku run 24/7 utaupata wapi? wait narudi tena baadae
C6 ntakuchek badae, hapo kwenye umeme ndo ishu akkh

Unataka ku host nini? Website ya forum, blog, matumizi binafsi, muziki, e-commerce, file transfer email? etc

Utatumia Operating System gani? Windows, Linux, Unix, Ubuntu etc?

Utatumia databases au itakuwa web pages tu?

Halafu mdau kauliza swala la umeme hapo juu, muhimu sana.

Una utaalamu wa web security? Ukiweka server utaweza kuli secure?

What about technical support? Likibuma na watu wanataka service nani atakusaidia?

nataka kuhost website
natarajia kutumia Linux au Ubuntu naskia ndo nzuri kwa mambo haya
situmii database ni webpages tu
sina utaalaamu sana wa web security ila ntajifunza
technical support wala sio shida kabisa. Hivi inawezekana kuhost website kwenye servers tofauti labda moja ipo TZ nyingine ipo USA?
 
nyasiro lazima utumie database kwa ajili ya dynamic websites, sasa hiyo itakuwa server gani hiyo ya html tu?
 
Last edited by a moderator:
OK. Ntantumia na database lakini bado swali langu liko palepale. Mahitaji ni yapi?
 
C6 ntakuchek badae, hapo kwenye umeme ndo ishu akkh

nataka kuhost website
natarajia kutumia Linux au Ubuntu naskia ndo nzuri kwa mambo haya
situmii database ni webpages tu
sina utaalaamu sana wa web security ila ntajifunza
technical support wala sio shida kabisa. Hivi inawezekana kuhost website kwenye servers tofauti labda moja ipo TZ nyingine ipo USA?

Kama unataka kwa personal use unaweza kufanya, lakini kama unataka a pro website, address tatizo la umeme kwanza kabla ya yote.

Kuweza ku host kwa servers moja US moja TZ inabidi uweze ku switch DNS pointers. Unaweza kufanya kama unatumia load balancer na DNS yako ina dynamic resolution to more than one VIP.
 
OK. Ntantumia na database lakini bado swali langu liko palepale. Mahitaji ni yapi?

Kama unataka Unix/Linux systems check out Apache. It is one of the most common web servers with a wide user community and a good base of documentation to help you.

You have to be Linux/Unix able. At least advanced beginner to intermediate.
 
Utahitaji a static IP. Modem kawaida inapewa dynamic ip ambayo inabadilika kila unapo connect kwenye internet hivi huwezi ku host website kwenye computer yako hadi utakapo pata static IP. Pia utahitaji IIS- internet information server hii kawaida imo kwenye windows os.
 
Kama unataka kwa personal use unaweza kufanya, lakini kama unataka a pro website, address tatizo la umeme kwanza kabla ya yote.

Kuweza ku host kwa servers moja US moja TZ inabidi uweze ku switch DNS pointers. Unaweza kufanya kama unatumia load balancer na DNS yako ina dynamic resolution to more than one VIP.
Kiranga kuswitch DNS pointers ni automatic process ntakayoifanya au inabidi niwe nafanya kila mara. yan nnachotaka mm ni kwamba in case website haipatkna katika server yangu ya gheto ndo iende US.

sasa naomba unipe maelekezo step by step ili nianze hii kazi
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kubwa hautakuwa na static IP, hivyo kutakuwa hakuna sehemu ya kuielekezea domain yako. Nadhani TTCL wanauza static I.Ps pia kuna njia za mkato ila zinaboa. Pia connection yako itakuwa ovyo site yako itakuwa haipatikani reliably. Kurun server hauhitaji pc nzuri sana hata mkweche unafaa kama hutegemei load kubwa, install some Linux kisha Web server kama Apache, uko tayari kuserv static sites, kama unataka dynamic basi itabidi uwe na executable environment fulani kama php, database server kama unataka db, zote zinaweza kukaa machine moja. Pia kuna configuration ya network kuhakikisha kuwa external connection zinaingia. Google utapata step by step
 
Utahitaji a static IP. Modem kawaida inapewa dynamic ip ambayo inabadilika kila unapo connect kwenye internet hivi huwezi ku host website kwenye computer yako hadi utakapo pata static IP. Pia utahitaji IIS- internet information server hii kawaida imo kwenye windows os.

Amesema anataka kutumia Linux/Ubuntu platforms so IIS is out of the question.

IIS has more holes than Swiss cheese anyway.
 
Kiranga kuswitch DNS pointers ni automatic process ntakayoifanya au inabidi niwe nafanya kila mara. yan nnachotaka mm ni kwamba in case website haipatkna katika server yangu ya gheto ndo iende US.

sasa naomba unipe maelekezo step by step ili nianze hii kazi

Hizi solutions nyingine zinafaa kwa big organizations with a load balancing/ round robin environment. Hii inakuwa automatic. Organization inaweza kuwa na VIP zaidi ya moja, mzigo ukizidi kwenye VIP moja unahamia kwenye VIP nyingine. Kutegemea na functions zako hii inaweza kuwa complicated especially katika synchronization.

Kwani tatizo lako kubwa katika kutafuta free hosting ni nini?

Unaweza kujikuta ku host mwenyewe kukakugharimu zaidi (umeme, security etc) zaidi ya kulipia kiasi kidogo.
 
Tatizo kubwa hautakuwa na static IP, hivyo kutakuwa hakuna sehemu ya kuielekezea domain yako. Nadhani TTCL wanauza static I.Ps pia kuna njia za mkato ila zinaboa. Pia connection yako itakuwa ovyo site yako itakuwa haipatikani reliably. Kurun server hauhitaji pc nzuri sana hata mkweche unafaa kama hutegemei load kubwa, install some Linux kisha Web server kama Apache, uko tayari kuserv static sites, kama unataka dynamic basi itabidi uwe na executable environment fulani kama php, database server kama unataka db, zote zinaweza kukaa machine moja. Pia kuna configuration ya network kuhakikisha kuwa external connection zinaingia. Google utapata step by step
duuh hi ishakuwa tabu sasa. Naomba niulze kwani kutumia Dial up connection kama hizi za modem zinaweza kufanya hii kazi vizuri? halafu kingine kwa mfano kila wateja wanaotumia modem za voda wote wana IP address moja au vp?

Hizi solutions nyingine zinafaa kwa big organizations with a load balancing/ round robin environment. Hii inakuwa automatic. Organization inaweza kuwa na VIP zaidi ya moja, mzigo ukizidi kwenye VIP moja unahamia kwenye VIP nyingine. Kutegemea na functions zako hii inaweza kuwa complicated especially katika synchronization.

Kwani tatizo lako kubwa katika kutafuta free hosting ni nini?

Unaweza kujikuta ku host mwenyewe kukakugharimu zaidi (umeme, security etc) zaidi ya kulipia kiasi kidogo.

free hosting siziamini hasa nnapo hama kutoka hosting mmoja kwenda mwingine "PRIVACY" pia hizi free hosting ziko limited hasa interms of subdomains. na space
 
swali langu lingine kwenye kuset name savers huwa napata nafasi ya name savers kama nne. sasa kwa mfano nna host wawili naweza fanya hivi

ns1.hostwakwanza.com
ns2.hostwakwanza.com
ns1.hostwapili.com
ns2.hostwapili.com

kama inawezekana kunahaja ya kufanya kama Kiranga unavyosema? na mnaweza kunielezea zaidi kuhusu hizi namesavers...
 
Last edited by a moderator:
nyasiro kwanza nisamehe kwa kupotea, ila kuanzia leo nipo kwa wingi,

uo umeme wa ku run 24/7 utaupata wapi? wait narudi tena baadae
Solar PV with autonomy of 7 days Batteries Backup System can carter that 24/7 running, though its initial cost might be alarming.
 
mkuu hapo kwenye alarming ndo unamaanisha nini? lakini hapo kwenye umeme kukatika suluhisho nshapata ni kohost katika server yangu na server nyingine ambazo zitafanya kazi kama yangu ikiwa haipatikani
 
anamaanisha ni za kushtusha sana, najua itabidi boom lote liishie kwenye battery
 
Back
Top Bottom