Jinsi ya kuandaa Server Binafsi Kwaajili ya Website & Email

Mwambie pia katika internet connection sio tu iwe full time lakini pia awe na dedicated IP, which is very expensive to subscribe

Kama anafikir kuhusu shared IP services za vodacom na ttcl then aachane na huo mpango completely

Kiranga nadhani uyu bwana nyasiro anataka kutengeneza personal server kuhost website zake na za watu wa karibu, nnamfahamu kiasi kwa hiyo najua ujuzi wake kuhusu kuconfigure ataweza akipigwa msasa,ila technically ndio ishu, kama ulivosema hapo juu, kuna vitu kama;1. hardware, angalau uwe na mashine ram sio chini ya 4GB, na hdd ukubwa utakaoweza kutegemea mahitaji yako2. operating system; windows? ubuntu? etc3. un interruptable power supply,4. full time internet connection (hapa hunidanganyi kwa tanzania ni ngumu sana)5. ulinzi wa server yenyewekwa mtazamo wangu; tumia mini servers ambazo ziko pre configured mfano xampp kisha unaigeuza kuwa server kamili
 
Last edited by a moderator:
Kwanza labda nikwambie tu kuwa kama unataka ku deploy server kwa ajili ya kujifunza na kufahamu inavyofanya kazi hapo uko sahihi

Lakini kama ni kukwepa gharama ya hosting za kulipia then fahamu ku run web server ni gharama kubwa 10 times or even more kulinganisha na gharama ya kulipia kwa ajili ya kuhost website

Kingine fahamu tu kuwa hata uki deploy your own server bado utalipia 10 dollars kila mwaka kwa ajili ya domain name. ( hii unalipa ICAN au NIC TZ ambayo ni ghali zaidi)

Pia uwe na dedicated IP address (ttcl wana charge about 600,000 kwa mwezi, ghali zaidi kwa providers wengine)

Appart from that kuandaa web server is not a big thing, na si lazima u install linux au windows server kama wataalam wenzangu walivyoeleza. Unaweza download xampp na uka deploy webserver kwenye computer yako ya windows xp au 7

Cha kuzingatia ni hizo requirements hapo juu, otherwise I wish you the best.

OK. Ntantumia na database lakini bado swali langu liko palepale. Mahitaji ni yapi?
 
Kuna mtu kasema ni lazima u install linux au Windows server?

Can you quote?
 
IIS iko secure kabisa usiwe na wasiwasi kama unatka kutumia, probably unayo kwenye PC yako tayari inabidi uiwashe tu. Pia unaweza kurun PHP kutoka IIS au .Net. Kuhusu kufanya fail over unavyoongelea hilo sahau kabisa. Kama za free zinakuzingua lipia web hosting, kuhost mwenyewe ni gharama kubwa sana na website yako itakuwa unreliable.
 
Tatizo ni kuwa mnataka kuwatengenezea watu website kwa bei rahisi na wao bila kujuwa shida ya hiyo rahisi wanakubali tu. Ndiyo maana kuna mtu amewahi kuuliza hapa siku 1; hivi mtu ukitengeneza website na ukamchaji laki 1 kuna faida yeyote hapo?.

Hakuna kitu mhimu unapodesign website kama kuwa na server yenye uhakika na si gharama kihivyo, ila sasa mteja wa kumtengenezea web unamchaji laki 1 na unajuwa hosting haipunguwi laki 1 kwa mwaka, mwisho wa siku utamdanganya tu kumbe we umeweka web yake kwenye server ya bure bila yeye kujuwa.

Jamani nimehangaika na free hosting mpaka nimechoka sasa nna mpango wa kuandaa server yangu ambayo itakuwa inarun 24/7. Naomba wataalamu mtiririke hapa mahitaji yooote yatakayoweza kufanikisha azma hii na configuration zote kwa ujumla.

Mpaka sasa nna desktop computer ambayo nataka niibadilishe iwe server.
 
Tatizo ni kuwa mnataka kuwatengenezea watu website kwa bei rahisi na wao bila kujuwa shida ya hiyo rahisi wanakubali tu. Ndiyo maana kuna mtu amewahi kuuliza hapa siku 1; hivi mtu ukitengeneza website na ukamchaji laki 1 kuna faida yeyote hapo?.

Hakuna kitu mhimu unapodesign website kama kuwa na server yenye uhakika na si gharama kihivyo, ila sasa mteja wa kumtengenezea web unamchaji laki 1 na unajuwa hosting haipunguwi laki 1 kwa mwaka, mwisho wa siku utamdanganya tu kumbe we umeweka web yake kwenye server ya bure bila yeye kujuwa.

mkuu usikurupuke bhana aliyekwambia anataka kuhost website ya mtu na amepewa hela ni nani? mbona watanzania mnakuwa hivyo mimi nmesema nataka kuhost website yangu mwenyewe ww unasema nimepewa hela we ndo umenipa hizo hela...
 
Kwanza labda nikwambie tu kuwa kama unataka ku deploy server kwa ajili ya kujifunza na kufahamu inavyofanya kazi hapo uko sahihi

Lakini kama ni kukwepa gharama ya hosting za kulipia then fahamu ku run web server ni gharama kubwa 10 times or even more kulinganisha na gharama ya kulipia kwa ajili ya kuhost website

Kingine fahamu tu kuwa hata uki deploy your own server bado utalipia 10 dollars kila mwaka kwa ajili ya domain name. ( hii unalipa ICAN au NIC TZ ambayo ni ghali zaidi)

Pia uwe na dedicated IP address (ttcl wana charge about 600,000 kwa mwezi, ghali zaidi kwa providers wengine)

Appart from that kuandaa web server is not a big thing, na si lazima u install linux au windows server kama wataalam wenzangu walivyoeleza. Unaweza download xampp na uka deploy webserver kwenye computer yako ya windows xp au 7

Cha kuzingatia ni hizo requirements hapo juu, otherwise I wish you the best.

mpaka sasa nimeanza kupata picha kuwa shida ipo kwenye IP address tu. hayo mengine kama ya domain tayari nnazo, power, security kwangu siyahitaji sana manake hii kitu nataka niifanye kama sehemu ya kujifunza na sio suala la biashara.
 
Mkuu, si wewe ndiye umesema umechoka kuhost kwenye SERVER ZA BURE?, mimi mbona sikuwa namaanisha hivyo?, tafadhari utakapofanikiwa usisite kutufundisha na sisi, sote tupo pamoja.

mkuu usikurupuke bhana aliyekwambia anataka kuhost website ya mtu na amepewa hela ni nani? mbona watanzania mnakuwa hivyo mimi nmesema nataka kuhost website yangu mwenyewe ww unasema nimepewa hela we ndo umenipa hizo hela...
 
mpaka sasa nimeanza kupata picha kuwa shida ipo kwenye IP address tu. hayo mengine kama ya domain tayari nnazo, power, security kwangu siyahitaji sana manake hii kitu nataka niifanye kama sehemu ya kujifunza na sio suala la biashara.

Kama unataka kujifunza na wala si kibiashara unaweza hata kutumia dynamic IP, kwani gharama ya kutumia static IP ni kubwa sana kwa kujifunza tu.

Utakachofanya ni kutumia IP address yako ya wakati huo badala ya URL/ Domain name.

Tena unaweza hata ku eliminate the need for registering a domain name ukatumia http://1.2.3.4:80 or something similar.

Kwa mtu anayejifunza, ni vyema kuanza polepole kwa mazingira local, halafu unaona challenges pole pole, unatatua pole pole mpaka unaweza.

Ukianza kuinvest hela nyingi kwa kujifunza halafu ukajikuta umetumia wrong approach (ya corporations kwa mfano) itakugharimu sana.

Ila jihadhari uki host website inabidi security yako iwe kali sana kwa maana ma script kiddies wamejaa kichizi na ukiwa na web server tu umewakaribisha.

Huchelewi kukuta watoto wa vyuo vikuu wa Kituruki, Kichina au Ki dane wame deface front page yako just for fun.

Inabidi uwe na firewall na full security monty.

Tunaambiwa New York Times wamelizwa na Wachina kwa spear phishing.

http://www.nytimes.com/2013/01/31/t...-times-computers.html?src=me&ref=general&_r=0
 
Mkuu, si wewe ndiye umesema umechoka kuhost kwenye SERVER ZA BURE?, mimi mbona sikuwa namaanisha hivyo?, tafadhari utakapofanikiwa usisite kutufundisha na sisi, sote tupo pamoja.

sawa naona tumepishana kimaelezo tu lakini tupo pamoja sana mkuu.
 
Kiranga asante sana kwa mwongozo wako tarehe 9 ntaanza rasmi huu mchakato na ntaendelea kutoa updates
 
Last edited by a moderator:
nyasiro lazima utumie database kwa ajili ya dynamic websites, sasa hiyo itakuwa server gani hiyo ya html tu?

database is not a very big issue... Kazi ipo kwenye security tu... jaribu kuhost script kama wordpress on local host?
 
Last edited by a moderator:
Kama unataka kwa personal use unaweza kufanya, lakini kama unataka a pro website, address tatizo la umeme kwanza kabla ya yote.

Kuweza ku host kwa servers moja US moja TZ inabidi uweze ku switch DNS pointers. Unaweza kufanya kama unatumia load balancer na DNS yako ina dynamic resolution to more than one VIP.

ns1.domain.com IP ##.###.##.## , ns2.domain.com ###.###.##, just like that
 
Dogo mbona unapenda njia ya mkato? Soma vitabu, kila kitu kitaenda sawa!
 
Donn hapa consept iko vp? ns1.domain.com IP ##.###.##.## , ns2.domain.com ###.###.##, just like that

kwa hiyo maana ya kuweka NS zaidi ya moja ni kubalance mzingo. so tukiacha mambo ya kuswitch DNS si nnaweza kuweka NS tofauti labda 2 za host ambaye ni reliable na nyingine zangu za kuungaunga. kitu kingine nnahost wawili halafu website moja nkitaka ku-update chochote inabidi nifanye mabadiliko kwenye server zote? je hamna njia ya kurahisisha changes kwenye server zote kwa pamoja
 
Last edited by a moderator:
Dogo mbona unapenda njia ya mkato? Soma vitabu, kila kitu kitaenda sawa!

nitake radhi mi co dogo. sasa mkubwa we KILA KITU mpaka usome vitabu duuuh kazi ipo kweli eee
 
Back
Top Bottom