Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Apr 9, 2021 #1 Baada ya Vodacom kuidindisha TCRA na kukomaa na vifurushi vipya ,swala la kutemana nalo halina mjadala. Nimesajili line ya ttcl lakini simu nayotumia ni ya voda. Nafanyeje ili niweze tumia line zote?
Baada ya Vodacom kuidindisha TCRA na kukomaa na vifurushi vipya ,swala la kutemana nalo halina mjadala. Nimesajili line ya ttcl lakini simu nayotumia ni ya voda. Nafanyeje ili niweze tumia line zote?
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,227 Apr 9, 2021 #2 Weka laini tofauti na voda namba moja kisha tuone kama itaomba code.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Apr 9, 2021 Thread starter #3 MoneyHeist4 said: Weka laini tofauti na voda namba moja kisha tuone kama itaomba code. Click to expand... Haiombi,hata nikichagua internet isome line nyingine inakubali kwenye data lakini mtandao hausomi kabisa
MoneyHeist4 said: Weka laini tofauti na voda namba moja kisha tuone kama itaomba code. Click to expand... Haiombi,hata nikichagua internet isome line nyingine inakubali kwenye data lakini mtandao hausomi kabisa
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,227 Apr 10, 2021 #4 Deo Corleone said: Haiombi,hata nikichagua internet isome line nyingine inakubali kwenye data lakini mtandao hausomi kabisa Click to expand... Inaandik No service au inaonyesha ishara gani?
Deo Corleone said: Haiombi,hata nikichagua internet isome line nyingine inakubali kwenye data lakini mtandao hausomi kabisa Click to expand... Inaandik No service au inaonyesha ishara gani?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Apr 10, 2021 Thread starter #5 MoneyHeist4 said: Inaandik No service au inaonyesha ishara gani? Click to expand... Haioneshi ishara yeyote zaidi ya mnara kusoma E lakini laini hiyo nikiweka kwenye simu nyingine,mtandao unakuwa fresh
MoneyHeist4 said: Inaandik No service au inaonyesha ishara gani? Click to expand... Haioneshi ishara yeyote zaidi ya mnara kusoma E lakini laini hiyo nikiweka kwenye simu nyingine,mtandao unakuwa fresh
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,227 Apr 10, 2021 #6 Deo Corleone said: Haioneshi ishara yeyote zaidi ya mnara kusoma E lakini laini hiyo nikiweka kwenye simu nyingine,mtandao unakuwa fresh Click to expand... Kumbe Tatizo sio ku unlock, mimi nikajua hai support laini nyingine.
Deo Corleone said: Haioneshi ishara yeyote zaidi ya mnara kusoma E lakini laini hiyo nikiweka kwenye simu nyingine,mtandao unakuwa fresh Click to expand... Kumbe Tatizo sio ku unlock, mimi nikajua hai support laini nyingine.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Apr 10, 2021 Thread starter #7 MoneyHeist4 said: Kumbe Tatizo sio ku unlock, mimi nikajua hai support laini nyingine. Click to expand... Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu... Nilitaka ttcl itumike kwenye data pia
MoneyHeist4 said: Kumbe Tatizo sio ku unlock, mimi nikajua hai support laini nyingine. Click to expand... Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu... Nilitaka ttcl itumike kwenye data pia
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,227 Apr 10, 2021 #8 Deo Corleone said: Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu... Nilitaka ttcl itumike kwenye data pia Click to expand... Kama TTCL ukiweka laini namba moja inasoma vizuri, Basi itakuwa hiyo simu wamei-limit ili iweze kupandisha 3G au 4G lazima uweke laini yao.
Deo Corleone said: Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu... Nilitaka ttcl itumike kwenye data pia Click to expand... Kama TTCL ukiweka laini namba moja inasoma vizuri, Basi itakuwa hiyo simu wamei-limit ili iweze kupandisha 3G au 4G lazima uweke laini yao.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Apr 10, 2021 Thread starter #9 MoneyHeist4 said: Kama TTCL ukiweka laini namba moja inasoma vizuri, Basi itakuwa hiyo simu wamei-limit ili iweze kupandisha 3G au 4G lazima uweke laini yao. Click to expand... Nafanyeje ili kutatua hilo tatizo
MoneyHeist4 said: Kama TTCL ukiweka laini namba moja inasoma vizuri, Basi itakuwa hiyo simu wamei-limit ili iweze kupandisha 3G au 4G lazima uweke laini yao. Click to expand... Nafanyeje ili kutatua hilo tatizo