Economist Jay
Member
- Feb 18, 2016
- 42
- 51
Habari wadau,
Nataka ku "promote" page yangu ya facebook kwa kutumia huduma ya M-Pesa, je hii inawezekana? Kama inawezekana, process nzima ikoje?