Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

ahaa hii ni idea mpya. hizi code zipo kwenye hex (zina abcdef) so jamaa anasema unaziconvert kwenda decimal then ndio unasubmit kwenda kwenye site ya google.

hii pia inajibu kwanini imei imekubali na android id na gsf imekataa.

mkuu kama umeshaconvert submit hizo namba kwenye page ya google ambayo nimeieka kwenye uzi.
nimeconvert na kusubimitt namba,tatizo wao wananipa registration namba ambazo mimi sijui matumizi yake wala la kufanya!!
 
sio kula convert my convert kutoka hex to decimal nimejaribu kuwekea figure kwenye calculator lkn nimekuta kuna maheruf a, h, b nikashindwa
 
sijaelewa jinsi ya kula convert nafanyaje
hio yenye abc ndio hex na kama umetumia ile app utaona android id na google framework service zote namba zake zina abc katikati. hivyo utatakiwa uziconvert kwenda decimal kawaida.

kama calculator umeshindwa nenda to google andika hex to dec converter zitakuja service za online
 
ok
 
Redmi 4x
Screenshot_2018-04-03-19-41-38-415_com.android.vending.jpg
 
Tatizo langu simu play store imo ila haifunguki inaleta ujumbe huuView attachment 734941
mkuu umewahi kuroot simu na kufuta vaadhi ya apps?

hapo inaonesha simu yako haina play service ambayo ni app mama inayohitajika ku run apps zote za google.

fanya hivi.
1. nenda setting kisha apps itafute play service kama imekuwa disabled jaribu kui enable

2. kama haipo hio app jaribu kuieka upya kwa kuidownload kutoka hapa

Google Play services APKs - APKMirror
 
nashukuru sana nimefanikiwa kabisa MUNGU akubariki CHIEF MKWAWA sitaacha kukufuatilia kwe nye mada zako umenisaidia sana
 
Back
Top Bottom