Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
NYPD Cops choke Black man to death for selling a

[video=youtube_share;ajhpFT-lVZY]http://youtu.be/ajhpFT-lVZY[/video]
 
tukitoka hapo tunaambiwa wazungu wana roho nzuri ila waarabu ndo makatili,

Kulikuwa na sababu gani ya kumkaba vile mpaka kumuua wakati mtu alikuwa hana hata silaha yoyote...eti kisa alikuwa anauza sigara.....dah nami naomba haya maandamano huko New york yasiishe mpaka kieleweke
 
Yaani huyo dingi kupigwa kabari kidoto tuu vile kafa???????
Inawezekana kabisa huyo dingi bonge alikuwa mgonjwa, ndiyo maana watu wazima ki-umri wanashauriwa kufanya mazoezi angalau mara 2 kwa wiki
 
Waarabu nao wana matatizo yao na hayawezi kusafishwa na matatizo ya wazungu

Kimsingi kila jamii ina matatizo yake kwani hata sisi weusi ni wabaguzi vile vile!

kuna watu humu always wanaona matatizo ya mwarabu huku wakimsifia mzungu! wote wanamatatizo ila mzungu unafiki kazidisha ana ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu
 
kuna watu humu always wanaona matatizo ya mwarabu huku wakimsifia mzungu! wote wanamatatizo ila mzungu unafiki kazidisha ana ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu

Hata wewe kwenye bandiko lako hili hili umeonesha chuki kwa wazungu kiasi kwamba umesema "wamezidi" bila hata kutueleza wamezidi kwa vipimo gani

Hao wazungu wamevaaje ngozi ya kondoo wakati ni mbwa mwitu?
 
Kulikuwa na sababu gani ya kumkaba vile mpaka kumuua wakati mtu alikuwa hana hata silaha yoyote...eti kisa alikuwa anauza sigara.....dah nami naomba haya maandamano huko New york yasiishe mpaka kieleweke
Nani atawateteya watu wanaoteswa na kuuliwa kisa ni tofauti na muuwaji au mtesaji,
 
Yaani huyo dingi kupigwa kabari kidoto tuu vile kafa???????
Inawezekana kabisa huyo dingi bonge alikuwa mgonjwa, ndiyo maana watu wazima ki-umri wanashauriwa kufanya mazoezi angalau mara 2 kwa wiki
Yap jamaa alikuwa na asthma Na hata walivyokuwa wanamkaba alilalamika sana akisema I can't breathe,I can't breathe inasikitisha sana jamaa alifariki. Ushahidi wa video unaonesha kila kitu.
 
Yap jamaa alikuwa na asthma Na hata walivyokuwa wanamkaba alilalamika sana akisema I can't breathe,I can't breathe inasikitisha sana jamaa alifariki. Ushahidi wa video unaonesha kila kitu.

Mkuu nadhani hawakukusudia hata kidogo huy jabali wangemshikaje?
Inasikitisha sana
 
Kuna mwenye takwimu zinazoonyesha ni weusi wangapi wameuwawa na polisi dhidi ya wazungu wangapi waliouwawa na polisi?

Pia, kuna mwenye takwimu zinazoonyesha ni weusi wangapi wanauana wao kwa wao?
 
huko israel ndo balaa weusi wanauawa kama kuku alafu wanajiita taifa la mungu

Ukifuatilia vizuri utakuja gundua kuwa dini yao inasema mwanadamu ni muisraeli pekee wengine sio wanadamu.tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom