Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Mkuu umeongea kitu nilimuambiaga jamaa mmoja aliyejidai kuelimisha,tulikosna toka hapo,lkn nashukuru nilimpa makavu,
Mm huwa sivutiwi na hadithi za porojo za watu hao
Kuna watu utawasikia eti mbona Bill Gates aliacha shule unaanza kumwambia ukweli usiseme shule sema Havard. Chuo cha watu wenye hela na wenye akili na siyo kwamba aliacha shule aliishindwa ila aliacha kwakua aliona anachokitaka yeye kifundishwe hakikuepo, kwahiyo ni shule ilimshindwa yeye siyo yeye aliishindwa shule.

Sasa kijana unapata division zero shule ya kata ukiambiwa rudi darasani utetezi wako ni Bill Gates naye hakusoma, pumbavu.
 
Unayajua yaliyo chini ya mafanikio yao wewe,au unakodoa tu macho juujuu
Overrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.

Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...
 
Mengi ni moja ya watu wa mwanzo kuwa na CPA bongo,anakuja kuanzisha biashara tayari ni auditor mkubwa tu na ajira ametoa,jidanganye na story ya Bic wakati hata hicho kiwanda kidogo cha pen kilikua nyumbani kwake Upanga nadhan umeshajua Shule ilimsaidiaje
Mkuu tufanye nini kajamba nani au ndio tusubiri kufa?
 
Katika utajiri wa watu wengi,kuna msukumo wa namna flani uliowawezesha kufika hapo walipo,lakini sio mapambano tu ya kawaida,mfano mtu kaiba hela serikalini katajirikia halafu mwisho wa siku anataka kusadikisha watu kuwa alifuata rules flani ndio maana kawa tajiri...
Mengi katika marekani na degree yake mkononi kaaajiriwa km mkurugenzi kwa miaka kumi na 4 unasema kaanzi fro zero?
Overrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.

Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...
Mengi katoka marekani na degree yake na akaajiriwa km mkurugenzi kwa miaka 14 unaanzajee kusema kaanzia from zero? Katika wote hao uliowataja labda Mond ndo kaanzia from zero na huyo mondi ameshauza majiko sana k/koo na hakutoboa mpk alipojiingiza kwenye music
 
Kuna watu utawasikia eti mbona Bill Gates aliacha shule unaanza kumwambia ukweli usiseme shule sema Havard. Chuo cha watu wenye hela na wenye akili na siyo kwamba aliacha shule aliishindwa ila aliacha kwakua aliona anachokitaka yeye kifundishwe hakikuepo, kwahiyo ni shule ilimshindwa yeye siyo yeye aliishindwa shule.

Sasa kijana unapata division zero shule ya kata ukiambiwa rudi darasani utetezi wako ni Bill Gates naye hakusoma, pumbavu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Yale yale " nilianza na lita 10 za petrol baada ya mwaka mmoja namiliki petrol station"
Fanya wewe kama wewe sio kusikia kwa kudanganywa na watu wanaosema nilianza na mtaji wa laki sijui maisha ni polepole,sijui kidogo ndio kingi..n.k.!?

Hii ni picha ya babu wa Aliko Dangote, Sanusi Dantata. Alikuwa mmoja wa matajiri zaidi nchini Nigeria, katika miaka ya 70.

Pia Baba wa Dangote pia alikuwa tajiri barani Afrika mnamo 1955

Aliko Dangote alizaliwa katika familia ya bilionea, usiruhusu msemaji yeyote wa motisha akuue. Unajaribu wewe sio kudanganyika na hao.View attachment 1226392
 
Sasa mkuu Diamond hiko ni kipaji na kipaji siku zote ni dili...hapa tunawazungumzia wale waliosema walianza na mtaji wa buku 7 nk

Mengi inajulikana wazi alianza kuajiriwa kwanza na alilipwa pesa mingi baadae ndo akaanza biashara umeona sasa hapo lakini huwezi ukaja na buku 5 ndani ya miaka 3 umiliki 100+ milioni

Back
Top Bottom