Mtalia sana tena sana dadeeeki mmesahau kuwa kila masika na mbu wake?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiKazi inaendelea kwetu
Mnaolia ni nyie wenye hofu.... JPM ameshapumzika kwa amani nyie huku mnakufa na kihoro!
Unalooooo hilo
View attachment 1751726
Upo sahihi, naamini na elimu yako yenye ' ka-degree' iko level moja na elimu ya msukuma.Tanzania haina wasomi, ina watu walioenda shule kukariri,ndomaana watu wengi elimu zao haziwasaidii kabisa.
Mimi akija mtu akanambia amesoma, ana PhD, masters au degree alafu hana hela, au anaongea pumba ambazo hata mtu wa form 4 anaejielewa hawezi ongea.
Namuona mpumbavu tu.Hatuwezi kukaa kusikiliza hoja zako,hata kama ni pumba eti tukubali kisa umesoma.Mimi nina ka degree kamoja,ila Jana nilimuelewa sana Msukuma.
Kusinamia wizara kisomi bila matokeo huo ni ujinga wa anayejiita msomiHuenda umesahau. Kudumaza taaluma na elimu kwa ujumla ni sera ya CCM tangu zamani. Ndio sababu mipasho ya akina kibajaji na msukuma bungeni dhidi ya wasomi inaungwa mkono sana. Kujiweka kando wasomi hunyamaza na kutojibu mipasho hiyo, kwa kuelewa madhara ya kubishana na wajinga.
Ndugai na watu wake wanao wananga na kuwadhihaki wasomi wanafanya hivyo kwa hasira kufuatia haya mambo yafuatayo.Wakuu msiwateteee darasa la saba katika mjadala huu.Issue sio elimu ,wabunge wasomi hawajawahi kuwattack darasa la saba katika kujenga hoja zao..kwanin la Saba wawashambulie wasomi kinyume na kutumia hoja zilizombele yao? Kwanini washindwe kujenga hoja badala yake wawakebehi na kubeza Wasomi?Bunge sio mahali pa kushambuliana tukitumia ufup ama urefu.Spika kama ataendelea kulea hii style kuna siku utaongia ubaguzi wa rangi, ukanda, ukabila nk bungeni. Wabunge hawapo pale kuonyesha vyeti vyao hapana!! Prof kujenga hoja yake hakuattack darasa la saba kwnn la saba wamattack kivile??
Usomi wa mtu hauwezi kuwa daraja la kumtukana ama kumbezaSasa kama wasomi wenyewe wapo tu bungeni wanatafta big G na usomi wao wasiambiwe ukweli?
Kama wanajiona wasomi wanakubali kukaa na darasa la saba mle ndani? Mm naona wawe na bunge lao la wasomi
Ukiona hakuna matokeo hapo ondoa usomi. Application yoyote ya usomi huleta matokeo chanya. Matokeo hasi penye msomi mwenye weledi jua kuna sababu, ama siasa imeweka mkono wake, au anaingiliwa majukumu yake aharibu ilu awekwe wanaemtaka.Kusinamia wizara kisomi bila matokeo huo ni ujinga wa anayejiita msomi
Mkuu, Wakati mwengine shida sio Elimu, shida ni ujasiri??Ukiona hakuna matokeo hapo ondoa usomi. Application yoyote ya usomi huleta matokeo chanya. Matokeo hasi penye msomi mwenye weledi jua kuna sababu, ama siasa imeweka mkono wake, au anaingiliwa majukumu yake aharibu ilu awekwe wanaemtaka.
Kumkosoa Yesu wako wa Lugola ndiko kunawanyima hawa maprofesa akili? Na kumwiimbia mapambio mwendazake, ndio kunawapa akili hao ngumbaro?Elimu ya kimapokea ni kirusi, inawezekana ni shambulio la kifikra dhidi ya jamii ya weusi
Musukuma na Lusinde wana akili kuzidi Muhongo na Assad, na wana akili kweli kwa maana ya uwezo wa kukabiliana na mazingira.
Muhongo na Assad ukiwapora makaratasi ndio basi tena
Nawashauri maprofesa hawa wajikite kufanya kazi za kitaaluma(Walizomudu kukariri) huku kwenye siasa wanajiaibisha
Unamueleza zaidi Musukuma kwa sababu hata wewe upeo wako ni mdogo tu kama Musukuma!Tanzania haina wasomi, ina watu walioenda shule kukariri,ndomaana watu wengi elimu zao haziwasaidii kabisa.
Mimi akija mtu akanambia amesoma, ana PhD, masters au degree alafu hana hela, au anaongea pumba ambazo hata mtu wa form 4 anaejielewa hawezi ongea.
Namuona mpumbavu tu.Hatuwezi kukaa kusikiliza hoja zako,hata kama ni pumba eti tukubali kisa umesoma.Mimi nina ka degree kamoja,ila Jana nilimuelewa sana Msukuma.
Kwa hiyo Wewe unampinga mheshimiwa Mwinyi, Una shauri kichaa akichukua nguo zako akakimbia nazo, na wewe umkimbize tu, kengele la kanisa katokiki likinging’inia?The fact kwamba hao wasomi walidharauliwa na wasio na elimu na wao wakakaa kimya mpaka hii post ikaja hapa, kunaleta mashaka na uwezo wao wa kutumia elimu Yao..na kibaya zaidi wameshindwa kutumia elimu Yao kuji defend against ya attacks za standard seven leavers.
SASA wataweza kutetea nchi pale mikataba iliyoandikwa Kwa ustadi Mkubwa na wasomi wabobezi wanaotumia small prints kuibia wajinga punde itakapoletwa kujadiliwa?
Yanayoendelea hapa nchini Kwa SASA inabidi yawe documented vizuri ili baadae vizazi vijavyo vijifunze namna ya kutokuwa wajinga.