Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,417
Hapa chini ni baadhi ya faida za kutumia juisi ya majani ya Ngano:
1. Inasaidia kuimarisha protini kwenye seli nyekundu za damu.
2. Inaimarisha kinga ya mwili na mfumo wa kusaga chakula na kuondoa lehemu (cholesterol).
3. Inasaidia kuimarisha mfumo wa sukari mwilini hivyo kutibu wale wenye matatizo ya kisukari
4. Inasaidia kuondoa sumu mwilini na kusafisha damu.
5. Inasaidia kuimarisha na kutibu matatizo ya ini na figo
6. Majani ya ngano pia yana madini mengi ya magnesium, potassium, iron, zinc, copper, selenium, thiamine
7. Pia ina kemikali za Chlorophyll, ambazo ndizo zinazofanya mmea kuwa wa kijani hizi kemikali zinasaidia kuongeza oxygen kwenye mfumo wa damu ambapo husaidia kuzuia na kutibu shinikizo la damu na kansa.
8. Kemikali ya Chlorophyll pia ina uwezo wa kuzalisha seli ambazo husaidia kutibu maradhi ya ngozi kuimarisha mfumo wa ngozi kwa kuwa na muonekano wa kuwa kijana tofauti na umri wako, kuondoa mvi na matatizo mengine kama vile ya mpagao au kusongeka.
9. Inatibu matatizo ya macho na hewa chafu kinywani na kuimarisha meno.
10. Ina virutubisho vingi vinavyoimarisha afya ya mwili na hivyo kutokuwa na afya mgogoro lakini kubwa Zaidi ni kinga na tiba ya magonjwa sugu kama Kansa na Kisukari.
Kwa mwenye kutaka majani ya ngano yaliyopandwa kwenye vishubaka maalum bila kutumia udongo (Hydroponic) ambapo huwa na virutubisho imara anaweza kuwasiliana na mimi kwa namba zifuatazo hapa chini:
Huduma ya kuletewa nyumbani au ofisini ipo kwa gharama nafuu.
+255 782 555 709
+255 715 729 292
Mr Rocky, Asprin , Jiwe Linaloishi , Kiranga , MziziMkavu , Ruttashobolwa , Madame B , Mwita Malanya , Bujibuji , Preta , Arushaone , snowhite , Saint Ivuga , PakaJimmy , Filipo , lara 1 , Paloma , cacico , Deception , nyumba kubwa , King'asti