Jinsi wanaume wanavyosafisha kiwi cha macho....!

Jinsi wanaume wanavyosafisha kiwi cha macho....!

Shabash,Kusafisha kiwi cha macho kwa kutizama ua ridi kwa nyuma kuna raha yake bana
 
Mtambuzi sasa utaanza kuleta ugomvi na wapenzi wa watu humu ndani...maana naweza ona umepiga something yangu...mie najua mida hiyo yupo kazini... Kumbe anapuyanga mitaaa ya kati
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaaa Mzee mwenzangu kuna kale ka-technic kengine pia ni kazuri sana hasa ukiwa na mwenye mali, all you need to do ni kumponda huyo unaetaka kusafisha Kiwi cha macho; please it is very useful yaani all you need ni kumwangalia halafu unamwambia mwenye Mali "yaani wananwake bhana hebu sasa ona yule kavaaje vile? " au unatafuta namna nyingine kadiri utakavyoona inafaa "Nitakununulia gauni/top au jinzi kama ile au napenda rangi kama ile, i wish ungevaa wewe" yaani hapo kesi yote kwisha na mwenyewe utakua umeridhika hahahahaaaa tatizo sasa wakiwa wengi kila saaaa utashindwa itabidi upunguze frequency
Hiyo Mwananyamala mkuu na hao ............. Mtambuzi shahidi!
 
Last edited by a moderator:
amenifurahisha eti picha ukizisave zinaandika file name "ustaadhi"! nimecheki ndio nikamuona kumbe yuko.
 
Mhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nimependa mazingira tu maana mimi napenda sana mazingira ya uswazi
Ila hao sijaona!
 
Hii mahali ka vile ni Tanga Barabara ya 11 hivi na hata hayo mavazi na hao watu walivyo warembo, Duh kuna wanaume wanahudumia aisee hadi ananona hivyo???!!! Huyo Mmoja anafanana sana na Mpwa wangu Paloma akiwa na tinna cute wanakata mitaa ya Mwananyamala

Hahahaahahaha!!! Utakuwa mchawi wewe maana hapo kuna mmoja swaga zinaendana kdg.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom