SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,342
Hii hapa ni line yenye 220kV ambapo mafundi wanafanya kazi kukiwa na umeme (live line). Hapo amevaa coat ambalo lina block electromagnetic fields (Faraday Cage) pamoja na viatu na gloves. Ni kazi hatari zaidi ambayo lazima uwe well trained na ujasiri zaidi. Pia zipo kazi ambazo unafanya bila kuvaa coat na umeme upo. Hapa wakiwa Wana tight loose connection kwenye waya kama inavyoonekana. Na live line hawafanyi kazi umeme ukiwa umezimika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app