Jinsi simu za touch screen zinavyotupa tabu kuandika texts

Ni Mtazamo tu.
Jaribuni kuchunguza sana,hizi sim zinapunguza uwezo wa kufikiri,zinachosha akili,zinauwa macho na kupunguza uwezo wa kuona vizuri,chanzo cha Taifa la wavivu.

Nenda Airport uangalie wenzetu wa magharibi uone kama wanashuka na midubwana hiyo,wanashuka na Sim Za kawaida sana.Maana hawataki usumbufu na wanajua hilo.

Maaan hizi zinaitwa sim za Kuuzia Sura,ukipanda boti basi watu wanashindana,maharusini ndio kabisaaa,full ushamba.

Halafu Kila nikiangalia Tamthilia na Maadhi ya Movies za majuu naona wanatumia sim za kawaida,sasa sijui hali ipoje.

Mie nilitumia siku moja ya jamaa,nikamuuliza hivi muda wote unafatua kitu kwenye sim na wakati mie yangu ni sekunde tu kila kitu mpango mzima.
Sasa umkute mtu kwenye Tigo pesa anatoa pesa ndio utaona kazi sasa.

kwa hyo hao wa magharib hawatumii sana hz simu?
 
Vipi rafki yangu Z.spice uko wapi mwanangu ukumbi skuZI umechafuka sana skuiZI wadau wanauponda Muungano tuu wengine wanadai Tanganyika irudi , wengine zenji mamlaka yani mpaka najiuliza huyu mtani skuiZi yuko akatupa alau ushauri na maoni yake
 
wanatumia sana hizo simu sema humu watu wanakuwa ma pretender kuwa nao hawapendi mambo hayo, hakuna kitu kama hicho basi makampuni kama apple yasingeuza kama wanunuz ni sis waafrika tuu, simu hzo zinatumika sana hasa na watu wenye kipato kikubwa. Kila mtu sizipendi sasa ni nani anayezitumia? Au watu wanaozitumia hawako jamiiforums. Mimi mwenyewe natumia touch tokea nimeizoea hizi za keypad naziona ngumu sanaa.
 
Watumiaji wakiona zinausumbufu watabadilisha wenyewe.
 
Haaaahaaaa nimepanua mapafu walahi!......mi napenda screen kubwa so naomba kujuzwa kama kuna zenye muundo ule ambazo zina keypard chini?(muundo kama wa gallaxy...)
 
yani mm sipendi kuchat na hizo simu, nina ki obama changu hapa, yani hata ki drive naweza reply meseji, ila ayo matouch kama hujaingia mtaloni.

Haaaaahaaaaa balaaa sanaaa....hasa tecno
 
Kuna mtu alimwandikia mama yake shikamb.o badala ya shika moo...

Eeeeeeeh....yupo mtu kaandika ---- wewe na shangazi kwenye list badala ya kuna wewe na shangazi kwenye lis...uuuuuh....😀😀😀😀😀
 
Kila kitu kina faida na hasara zake.
Muhimu ni kuangalia pande zote za shilingi. Kama unaona Nokia ya tochi ni rahisi kwako ukilinganisha na hayo masmartphone, basi achana na hayo masmartphone ( & vice versa ).
 
Vipi rafki yangu Z.spice uko wapi mwanangu ukumbi skuZI umechafuka sana skuiZI wadau wanauponda Muungano tuu wengine wanadai Tanganyika irudi , wengine zenji mamlaka yani mpaka najiuliza huyu mtani skuiZi yuko akatupa alau ushauri na maoni yake

Nipo Mkuu,Mtani Jembe.
Nasubiri kesho mtu aanzishe uzi wa vituko vya leo ukumbini ili nitafute sababu
 
Simu hizi ni nzuri sana isipokuwa matumizi wengi wetu lazima tukubali ni washamba na tunaogopa technologia yaani "technophobia" ndio inayosumbua, kuogopa madadiliko, ujio wa computer ulipingwa sana lakini hadi leo hakuna ofisi au kazi inayoenda bila computer, gari za automatic zilipigwa vita sana lakini sasa zimekuwa kimbilio la wengi.
Hizi simu kama huzijui ndio zitakusumbua lakini wajuzi wanacheza nazo sana na wanakuwa wepesi mpaka raha na sehemu ya kuandikia ina mvuto sana, pia hizi simu zote za touch yaani smartphone zina option ya kubadilisha key board yaani unaweza kuweka ya qwerty au 2 x 2 au 2x3 ambazo tumezizoea yaani key board yake ikawa kama simu za kawaida.
Pia si kweli kwamba nchi za magharibi hawatumii huweza nishawisha kwamba simu kama iphone, htc, samsung watumiaji na soko lake lipo africa sio kweli.
Nakubaliana na ushamba wa kwenye maharusi kushikilia shikilia simu na show off nyingi.
 
Ni Mtazamo tu.
Jaribuni kuchunguza sana,hizi sim zinapunguza uwezo wa kufikiri,zinachosha akili,zinauwa macho na kupunguza uwezo wa kuona vizuri,chanzo cha Taifa la wavivu.

Nenda Airport uangalie wenzetu wa magharibi uone kama wanashuka na midubwana hiyo,wanashuka na Sim Za kawaida sana.Maana hawataki usumbufu na wanajua hilo.

Maaan hizi zinaitwa sim za Kuuzia Sura,ukipanda boti basi watu wanashindana,maharusini ndio kabisaaa,full ushamba.

Halafu Kila nikiangalia Tamthilia na Maadhi ya Movies za majuu naona wanatumia sim za kawaida,sasa sijui hali ipoje.

Mie nilitumia siku moja ya jamaa,nikamuuliza hivi muda wote unafatua kitu kwenye sim na wakati mie yangu ni sekunde tu kila kitu mpango mzima.
Sasa umkute mtu kwenye Tigo pesa anatoa pesa ndio utaona kazi sasa.

Huwez kuziona kweny movie kwa sabau wale wana akili sana , hawez kukaa anaonesha cm kwenye movie kwa sababu kwa kufanya hivo ni kufanya marketing , wenzetu wanajua yaan ukiona cm au computer imeonekana kwenye movie basi ujue ni kwa makusudi kabisa na hapo lazima mkwanja utembee ,, ., angalia hata komedi ya kina mpoki na masanja huwez ona kinywaji chenye jina flan au hata cm au hata nguo unless ni mdhamini wao ,,

Hizi cm sio za kuuzia sura kama watu wanavyodai , unajikuta kila mda unaitoa na kuangalia smartphone yako kwa sababu ina kila kitu unachohitaji mfano ramani , alarm , calculator , dictionary , mda , news , unaweza kuweka plans zako za siku nzima, week hata mwaka, budget pia huwa natupia kwa cm.n.k , hivi vitu vinamfanya mtu aonekane anauza sura kumbe anafanya mambo yake , binafsi cm yangu huwa nnayo mkononi mda mwingi kwa sababu hizo..

Naomba tu nikwambie smartphones zinatumika sana nchi zilizoendelea kuliko huku , angalia mfano mdogo tu wa line za kukata "hizi ni standard za kwao sisi tunalazimisha , ingia mfano apple store hawaijui tanzania na nafikiri kwa africa wanaitambua south afirca na nigeria tu. Kwa hiyo sio kweli kwamba sisi tunazo kuliko wao, wao ndo wanatumia mara mia kuliko sisi,,

Note: smartphone ina built in dictionary ambazo zina lugha kubwa duniani tu, kwa hiyo ukiandika kiswaz lazima ukosee , ila jaribu kingereza yaan ni faster neno linajileta hata kama hujamaliza ku type ... Kwa hiyo kukosa kwetu kiswahili kuwa lugha ya kimataifa isiwe tatizo kwao ..m

"From tz with true luv"
 
Yote uliyosema ni kweli ila hapo kwenye RED umetudanganya.
 
Haaa haaa me natumia ipad mzee , yan npo nayo sasa hivi. Account yangu ya bongo inazingua kila kitu , itunes siwez chukua chocote inagoma kabisa , apps kibao zinakataa appstore na jamaa wanaleta kitu kama "not supported in your region" ,

"From tz with true luv"
 
hizo simu sizipendi hata kidogo itakuwa walitengeneza kwa ajiri ya mademu
 
Back
Top Bottom