Jinsi simu za touch screen zinavyotupa tabu kuandika texts

Jinsi simu za touch screen zinavyotupa tabu kuandika texts

Hizi touch screen zinavyosumbua watu,Mdada
kanunua simu mpya ya screen touch.
MDADA-Bebi mambwo?
JAMAA-Poa nambie
MDADA-Vipw umelalwa?
JAMAA-Unasemaje?
MDADA-Nauliza umelwala?
JAMAA-Mhhh! Cjalala baby hata usingizi cna
MDADA-Mimi menyew cjalwala kumu mijitu
inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa
JAMAA-Nin?
MDADA-Kuna kelwele hapa nje ya numba yetu
usingizwi hakuna kabiswa
JAMAA-Hahahaa! Pole baby
MDADA-Bwebi mbona unanichekwa sasa?
JAMAA-Jaribu kuandika vizuri honey
MDADA-Hehehwehwe unajua cm mupya alafu
sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na
nyingine.Pwelo bebwi wangu
JAMAA-Hahaha haya dia
 
Mkuu Mbavu Zangu!
 
Inabidi awe analamba kidole wakati wa ku.touch kama anahesabu hela ya noti
 
Hizi touch screen zinavyosumbua watu,Mdada
kanunua simu mpya ya screen touch.
MDADA-Bebi mambwo?
JAMAA-Poa nambie
MDADA-Vipw umelalwa?
JAMAA-Unasemaje?
MDADA-Nauliza umelwala?
JAMAA-Mhhh! Cjalala baby hata usingizi cna
MDADA-Mimi menyew cjalwala kumu mijitu
inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa
JAMAA-Nin?
MDADA-Kuna kelwele hapa nje ya numba yetu
usingizwi hakuna kabiswa
JAMAA-Hahahaa! Pole baby
MDADA-Bwebi mbona unanichekwa sasa?
JAMAA-Jaribu kuandika vizuri honey
MDADA-Hehehwehwe unajua cm mupya alafu
sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na
nyingine.Pwelo bebwi wangu
JAMAA-Hahaha haya dia

hahahaaa... good to start a day with smiling face
 
Duh! nikweli. Nishawahi tukana boss wangu na hizo simu.
sio vema kuandika hapa ni tusi lipi lakini chamoto nilikipata.
 
Hahahahaaha dah watu mnaona balahaaaaaaaa,nisiandike sana nikakamatwa na mimi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sio simu tu,wabongo tunanunua vitu kwa ajiri ya wengine.Mtu ananunua simu ya bei kubwa ili tu watu wamwone nayo!Ukija kwenye matumizi ndio utashangaa,Sms moja kwa siku
 
tanch kweli kenye menseji inapera sanaezaji walikuwa wanaweka na batani pia.na m tokea wakat ule sikuwah kupenda hzo touch
 
Sawa bwebei manxnxiwn zkkl toich sckriin
 
Back
Top Bottom