Jinsi simu za touch screen zinavyotupa tabu kuandika texts

dah huwa natamani niendelee na simu za buttons maana hizi touch kweli nitatizo, simu za buttons nilikua naeza kuandika sms hata bila ya kutazama na ilikua na speed yake ila hapa kwa touch natulia kidogo.

naelewa hii technology imeanza nainaimarika, tunaitaji muda kuizoea, mfano, simu yangu sumsung gs3 ina text prediction so kila neno nalo andika pale pakupredict panapo kua bluu napagusa badae nikiwa naandika neno kama lile hujitokeza na kurahisisha uandishi.
 
Ni Mtazamo tu.
Jaribuni kuchunguza sana,hizi sim zinapunguza uwezo wa kufikiri,zinachosha akili,zinauwa macho na kupunguza uwezo wa kuona vizuri,chanzo cha Taifa la wavivu.

Nenda Airport uangalie wenzetu wa magharibi uone kama wanashuka na midubwana hiyo,wanashuka na Sim Za kawaida sana.Maana hawataki usumbufu na wanajua hilo.

Maaan hizi zinaitwa sim za Kuuzia Sura,ukipanda boti basi watu wanashindana,maharusini ndio kabisaaa,full ushamba.

Halafu Kila nikiangalia Tamthilia na Maadhi ya Movies za majuu naona wanatumia sim za kawaida,sasa sijui hali ipoje.

Mie nilitumia siku moja ya jamaa,nikamuuliza hivi muda wote unafatua kitu kwenye sim na wakati mie yangu ni sekunde tu kila kitu mpango mzima.
Sasa umkute mtu kwenye Tigo pesa anatoa pesa ndio utaona kazi sasa.
Hivi soko kuu la smart phones liko africa au ?ukishapat jawabu lete tena hoja yako,mshamba wee!
 
dah huwa natamani niendelee na simu za buttons maana hizi touch kweli nitatizo, simu za buttons nilikua naeza kuandika sms hata bila ya kutazama na ilikua na speed yake ila hapa kwa touch natulia kidogo.

naelewa hii technology imeanza nainaimarika, tunaitaji muda kuizoea, mfano, simu yangu sumsung gs3 ina text prediction so kila neno nalo andika pale pakupredict panapo kua bluu napagusa badae nikiwa naandika neno kama lile hujitokeza na kurahisisha uandishi.

Nikweli mdau, ni kiasi cha kuifundisha simu maandishi ya kiswahili kila unapo andika sms hujitokeza maneno tofauti matatu au zaidi kati yake moja huwa sahihi na ili neno ulilokusudia kuandika libaki kama lilivyo basi unatakiwa kulibofya neno pale chini pakupredict panapo kuwa bluu basi neno hilo litakuwa saved ktk smartphone yako na unapoanza tu kuliandika ktk sms (lin - linajitokeza) basi unaendelea na neno lingine na kama umesave maneno mengi basi kila neno utakalo anza kuliandika litajitokeza na kukufanya kutumia muda mfupi sana ktk kuandika sms. Kumbuka kwamba kama huku save neno la kiswahili uwezekano wa kubadilika na kutoeleweka au kuwa tusi ni mkubwa
 
Ni Mtazamo tu.
Jaribuni kuchunguza sana,hizi sim zinapunguza uwezo wa kufikiri,zinachosha akili,zinauwa macho na kupunguza uwezo wa kuona vizuri,chanzo cha Taifa la wavivu.

Nenda Airport uangalie wenzetu wa magharibi uone kama wanashuka na midubwana hiyo,wanashuka na Sim Za kawaida sana.Maana hawataki usumbufu na wanajua hilo.

Maaan hizi zinaitwa sim za Kuuzia Sura,ukipanda boti basi watu wanashindana,maharusini ndio kabisaaa,full ushamba.

Halafu Kila nikiangalia Tamthilia na Maadhi ya Movies za majuu naona wanatumia sim za kawaida,sasa sijui hali ipoje.

Mie nilitumia siku moja ya jamaa,nikamuuliza hivi muda wote unafatua kitu kwenye sim na wakati mie yangu ni sekunde tu kila kitu mpango mzima.
Sasa umkute mtu kwenye Tigo pesa anatoa pesa ndio utaona kazi sasa.
Leo nlikuwa natuma mpesa nlikoma dakika 5 nahangaika loo ikabidi nipoe kwanza.
 
Nilikua natuma message kwa whatsaap, baada ya kurudia kusoma hata mimi kimenishangaza. na bahati mbaya whatsaap haina edit ndio kabisa ikaenda jinsi ilivyo.
 
utazoea tu mkuu ,hili ndilo teke linalokujia.
 
Hizi touch screen zinavyosumbua watu,Mdada
kanunua simu mpya ya screen touch.
MDADA-Bebi mambwo?
JAMAA-Poa nambie
MDADA-Vipw umelalwa?
JAMAA-Unasemaje?
MDADA-Nauliza umelwala?
JAMAA-Mhhh! Cjalala baby hata usingizi cna
MDADA-Mimi menyew cjalwala kumu mijitu
inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa
JAMAA-Nin?
MDADA-Kuna kelwele hapa nje ya numba yetu
usingizwi hakuna kabiswa
JAMAA-Hahahaa! Pole baby
MDADA-Bwebi mbona unanichekwa sasa?
JAMAA-Jaribu kuandika vizuri honey
MDADA-Hehehwehwe unajua cm mupya alafu
sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na
nyingine.Pwelo bebwi wangu
JAMAA-Hahaha haya dia

Hahahaha,hii kali
 
Kuna Uyo Anasema Inauwa Uwezo Wakufikiri Ama Kweli Binadamu Hata Umfanyie Vp Lazima Akuambie Ina Madhara Yuko Mtu Anasema Zina Sababisha Mpaka Na Kansa Ya Kwenye Ivo Vidole Unavyo Tachi Duh Kweli
Huwez Sema Inaharbu Uwezo Wa Akili Akat Mtu Akiwa Na Cmu Kama Izo Anajifunzia Mengi Sana,
 
Ni Mtazamo tu.
Jaribuni kuchunguza sana,hizi sim zinapunguza uwezo wa kufikiri,zinachosha akili,zinauwa macho na kupunguza uwezo wa kuona vizuri,chanzo cha Taifa la wavivu.

Nenda Airport uangalie wenzetu wa magharibi uone kama wanashuka na midubwana hiyo,wanashuka na Sim Za kawaida sana.Maana hawataki usumbufu na wanajua hilo.

Maaan hizi zinaitwa sim za Kuuzia Sura,ukipanda boti basi watu wanashindana,maharusini ndio kabisaaa,full ushamba.

Halafu Kila nikiangalia Tamthilia na Maadhi ya Movies za majuu naona wanatumia sim za kawaida,sasa sijui hali ipoje.

Mie nilitumia siku moja ya jamaa,nikamuuliza hivi muda wote unafatua kitu kwenye sim na wakati mie yangu ni sekunde tu kila kitu mpango mzima.
Sasa umkute mtu kwenye Tigo pesa anatoa pesa ndio utaona kazi sasa.

Ni vema umesema kabisa kwamba hujui hali ikoje, kwasababu unachokiona kwenye hizo muvi sicho.
 
Mimi nlishaonaga tatizo mapema! Natumia custom keyboard kwenye android yangu bila hata text prediction, nimeongeza na ukubwa wa keys kabisa for simplicity..... 1396561902886.jpg

Sema ndo hivo huwez type bila kutazama. But speed, I beg to differ, mi nakimbiza kuliko mwenye Obama ambaye inambidi abonyeze mara tatutatu...
 
Kwa ufupi sim hizi zinauwa macho sana.Maana wengi wamezigeuza kama ofisi mkoba na wengi hutumia muda mwingi kwenye kuchati.(Vipofu watarajiwa).Na ndio maana miwani za macho zinauwza saana.
Wee reemba zisifie saana,ila habari ndio hiyo
 
Mimi nlishaonaga tatizo mapema! Natumia custom keyboard kwenye android yangu bila hata text prediction, nimeongeza na ukubwa wa keys kabisa for simplicity.....View attachment 149024

Sema ndo hivo huwez type bila kutazama. But speed, I beg to differ, mi nakimbiza kuliko mwenye Obama ambaye inambidi abonyeze mara tatutatu...

tatizo lipo kwenye keyboard za qwerty mkuu hasa kwa watu ambao hawajazoea kutumia computer, washazoea portrait keyboard
 
Back
Top Bottom