Hommie itabidi tuzoee tu ndo ilishabadilishwa ivyoo!! ukumbuke kubadili Font kabla ya kupest!! Yaani hangover na font hizi tutasoma ndivyo sivyo!!Jamani mi mtanisamehe, hii kwakweli naona kama inanishinda vile.
Nimeimiss old JF.
Ile ndo inatufaa wazee wa hangover.
Samahani kama nimewakwaza.
nahitaji muda kuizoea hii jf mpya!naona kama sio yenyewe,lakini nitazoea tu😀
kushoto chini hapoHivi button ya Thanks ipo wapi?
Oyaaaaaaaaaaaaaa...mambo vp mtu wangu?Mie nilikumiss weye kweeeeli, maana umekuja kivyengine kabisa, naona umeamua kuweka picha yako live!...Du, uko juu kama mu-ASHOCK au kishada besti yangu!To all members, I MISSED YOU BADLY...LUV TO YOU ALL BRODAS AND SISTOS!
hamjambo humu?
Bwana we acha tu hata mie nilikuwa kama mgonjwa vile kwa kuwamis raia wa jf.but hope wote wako poa.
uko hapa kuna dalili ya addiction ya aina fulani... maana mnachozungumzia kuwa ni "kumiss" kimsingi ni withdrawal symptoms za JF.. inabidi muanzisha kikundi cha JFA - JamiiForums Anonymous...