Jinsi nilivyookoa ndoa ya watu

Jinsi nilivyookoa ndoa ya watu

Ndo hasara za kuleta mahauzgel wenye misembwede afu mke flat krini loh miye wangu ntamleta ambaye atazamiki kabisa na marufuku kuvaa vimini wala kukaa mabega wazi nyumbani kwangu ole wako nikukute
ila wanaume nyie !!!!!
 
Na kweli hili linaweza kutokea, nanilimwambia tukiwa peke yetu mambo anyoyafanya yataatarisha ndoa yao kam ataendelea na mchezo huo, aliniapia kwamba hatarudia tena, Tuwaombee tu waishi vizuri

Mkuu kama ulimshauri hivi ni vizuri sana! Kama rafiki yake hajakuambia kwa nini alikuwa akimchungulia house girl?!
 
Ndo hasara za kuleta mahauzgel wenye misembwede afu mke flat krini loh miye wangu ntamleta ambaye atazamiki kabisa na marufuku kuvaa vimini wala kukaa mabega wazi nyumbani kwangu ole wako nikukute
ila wanaume nyie !!!!!
hata huyo housegirl aliyechunguliwa havai vimini, anavaa nguo utadhani sister, yaani ni ngumu kweli kuona hata goti lake
 
mkuu nielekeze huyo jamaa anapokaa maana mi ndo ugonjwa wangu huo (kula deo !)
 
Ungemuuliza akiwaga anachungulia anaangaliaga sehemu gani ya mwili wa housegirl ili tujue udhaifu wake na jinsi ya kumsaidia next tym
 
Na kweli hili linaweza kutokea, nanilimwambia tukiwa peke yetu mambo anyoyafanya yataatarisha ndoa yao kam ataendelea na mchezo huo, aliniapia kwamba hatarudia tena, Tuwaombee tu waishi vizuri
Wengine hiyo ni ugonjwa wa akili hawawezi kuacha hata ungeshauri vp....

Huyo rafiki yako na mkeo wapo sekta ya afya ,makazi yao mwanza?
 
Wengine hiyo ni ugonjwa wa akili hawawezi kuacha hata ungeshauri vp....

Huyo rafiki yako na mkeo wapo sekta ya afya ,makazi yao mwanza?
Ni kweli kutokana na hulka za wanadamu wengine wanaweza kuacha tabia hiyo na wengine wakaendelea nayo, hapana hawapo Mwanza bali Dar

Alikuwa anaupiga rada kwanza mwili wa HG kabla ya kumtokea beki tatu.

ha ha h ha nimependa hiyo kudondoka na ndooo
za mwizi kwel arobaini...anachunglia bila kula mzigo
 
ha ha h ha nimependa hiyo kudondoka na ndooo
za mwizi kwel arobaini...anachunglia bila kula mzigo

Huyo ana matatizo kisaikolojia aende kwa dokita akampe ushauri. Nichungulie papuch halafu nisiigegede Abdalah atakuwa ananisumbua kila mara na usingizi sitapata aheri kutochungulia kabisa hasa kama mtoto mwenyewe ni classic!
 
Ndo hasara za kuleta mahauzgel wenye misembwede afu mke flat krini loh miye wangu ntamleta ambaye atazamiki kabisa na marufuku kuvaa vimini wala kukaa mabega wazi nyumbani kwangu ole wako nikukute
ila wanaume nyie !!!!!

Hapana dada mtu anayejieshimu hawezifanya hivyo hata kama HG ana shepu nzuri, anavumilia na anampotezea.
 
Mh! Kaka mleta mada umeharibu. Jf ni nyumba ya kila mja. Usishangae jamaa akikujia na ushahidi ulioweka hapa, kuwa mkewe kaifuma hii jf
 
Yani kupiga chabo tu mtu anataka talaka?...
Wanawake wa facebook noma
 
Back
Top Bottom