Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
nzuri tu swahiba Mungu anasaidiaYah ni kweli broo nimejifunza kutokana na makosa
Daah ulipotea sana swahiba vip hali lakini?
nzuri tu swahiba Mungu anasaidiaYah ni kweli broo nimejifunza kutokana na makosa
Daah ulipotea sana swahiba vip hali lakini?
poa poa kuwa makiniAsanteh sana kaka
FACT KABISAKweli ofcourse kuna kitu nime-experince baada ya kukoswa koswa..
nimejua
1.tamaa ya pesa mbaya sana
2. Kuongea na mtu usiyemjua ni risk kubwa ambayo sometimes hutokea
3.usimwamini mtu ulimwengu umechacha
Kazi ya wale walinzi nikuhakikisha wanatizama mienendo ya watejaa na usalama ndani ya bank sasaa mtu unaingia bank hataa hujafika kwa cashier ushatolewa hiviii inakujajeeeeMmh! Sijakupata vizur mkuu yaani bankers na walinzi huwa ndani ya dili au?
Si ungemwambia aombe escort ya polisi!" Naogopa kwenda peke yangu kama vip nisindikizen kisha pesa zitazotoka nitawapa milioni moja moja"😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀...aisee..kirahisirahisi tu hivi😀😀
HakikaSi ungemwambia aombe escort ya polisi!