Jinsi nilivyonusurika kufumaniwa na mwenye Mali/Mke

Jinsi nilivyonusurika kufumaniwa na mwenye Mali/Mke

Bolingo Ya Telephone 🤣🤣🤣🤣 nimecheka Sana hi Id
 
So sad kijana kama wewe kitu unachoogopa tu ni kufumaniwa hujui wala huogopi kuhusu magonjwa, unajua kabisa mwanamke kaolewa na mwanaume mwenye wake wawili, katika circle yao hujui yupi ni salama nani sio salama, yupi mchepukaji yupi sio mchepukaji, kama huyo mkewe mdogo kachepuka na wewe vipi kwa wengine kati yao kama nao wanachepuka?

Matatizo mengine mnayanunua wenyewe.
 
Stories za kitoto sana. Hii siyo chai ni maji kabisa ya kunywa.
 
Hii chai kabisa.
Yaani ukae uvunguni kuanzia usku mpaka usiku tena. Uvunguni kuna mavumbi lazma tu ungekohoa tena mbaya zaidi ulisema kuna kipindi ulipitiwa na usingzi, hapo lazma tu kikohozi cha kiusingizi kutokana na vumbi kingekutokea tu au hata kukoroma.

Hapo kuna tukio lililotokea la namna hyo na ww ukaamua kuongezea nyamanyama kidogo. Acha kufanganya dogo
 
Kwa hiyo kukojia ulijikojelea au Nyumba ilikuwa self
 
Back
Top Bottom