Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
Tuombe Mungu aturehemu,hali ni mbaya mkuu.Bila msaada wa Mungu hatuchomoki.So sad kijana kama wewe kitu unachoogopa tu ni kufumaniwa hujui wala huogopi kuhusu magonjwa, unajua kabisa mwanamke kaolewa na mwanaume mwenye wake wawili, katika circle yao hujui yupi ni salama nani sio salama, yupi mchepukaji yupi sio mchepukaji, kama huyo mkewe mdogo kachepuka na wewe vipi kwa wengine kati yao kama nao wanachepuka?
Matatizo mengine mnayanunua wenyewe.