JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,324
- 17,911
Jana niripigiwa simu kwamba nihudhurie usaili leo mchana saa nane,sasa hawa jamaa sijui wanafikiri kila mtu anaishi Dar,mi nipo dodoma muda huo mpaka nipate usafiri wa dar,lazima ufike usiku wa manane,harafu asubuhi uwingie kwenye usaili,kichwa kinauma,ujalala,hiyo interview lazima uchemke.
Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa kabisa,hii ni mara yapili sasa,mara ya kwanza walinipigia simu nikiwa BUKOBA,wakaniambia usaili kesho kutwa saa nne asubuhi,sasa kutoka bk mpaka dar,lazima ufike saa saba za usiku,nirifika nikiwa hoi mbaya,harafu saa nne asubuhi nikaingia kwenye usaili,shughuri ilikuwa pevu.
Hii ya jana imenishinda,kila la kheri kwa aliyeitwa,
WISH YOU ALL THE LUCKY