Jinsi nilivyo keketwa na kunusurika kifo

Jinsi nilivyo keketwa na kunusurika kifo

habar hii hakuna mwanaume anaweza jua maumiv yake, sidhan hata kama yanalngana na kukatwa kwa govi, sidhani...mwanamke anayetetea kama hajakeketwa ajaribu kufinya sehemu hyo, japo hatapata maumiv yenyewe ila kidogo ataskia ladha yake.. Pole sana SUZANE
 
Last edited by a moderator:
Dah imenikumbusha mie 2007,nlivyomaliza fom four nkaenda kijijin kwa babu,aunt zangu wakawa wamepanga na bibi wanifanyie hyo kitu,huez amin nlisoma mazngra nkayajua ucku wakuamkia tukio nlitoroka nkaenda kulala kwenye banda la mbuz asubuhi nlianza safari ya kurudi home kwetu,though sikua na hela nlipanda kwenye lori la mchanga!mpaka nkafka mjini!niliapa sitokaa niende kijiji kwa bibi mpaka leo,pole sana SUzzy!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom