Jinsi nilivyo keketwa na kunusurika kifo

Jinsi nilivyo keketwa na kunusurika kifo

Naikumbuka siku ile nilipoitwa nyuma ya nyumba kule kijijini kwetu. nikaambiwa nitanue miguu then wabibi flan wakanitazama kwa makini sana, ckujua kitu kilikua kinaendelea....

Baada ya cku kadhaa, asbh sn nikaamshwa nikavalishwa kanga moja inatopita shingoni, kwetu inaitwa (maleleta)

safari ikaanza kuelekea msituni kwa kua nilikutana na wenzangu kama 10 hivi tuliiokua tunasoma pamoja darasa la pili sukuogopa wala kujali chochote.

Baada ya muda tulilifikia pori fulani walilokua wameandaa hapo tukawekwa mapumziko.

Haikuchukua muda akachukuliwa wa kwanza..., 2, 3 ... lkn hawakurudi pale tulipokua, mimi zamu yangu ilikua ya sita...
Niliingizwa kwenye pori lililojitenga, nilianza kupata hofu baada ya kumuona bibi mmoja akiwa amelowa damu karibia mwili mzima, mama mmoja akanivua ile kangha yng, nikaanza kulia, nikitaka kukimbia lkn ckufua dafu...

nikakukumbuka wazazi wangu waliofariki, nilimwita mm yng aniokoe lkn hakutokea, hakukua na msaada wowote ule kwa wakati ule...

nililazwa chini, nilimuona yule ngariba akiwa na kisu kilichopinda kdg mithili wa vile vya kukatia majani, akanisogelea na kupeleka mkono wake moja kwa moja kwenye papuchi yangu, huku nikiwa chini nimeshikiliwa siwezi hata kujitingisha nilisikia maumivu makali yakipenya ktk mwili wangu, ngariba alikua anakiondoa kiungo kimoja kwenye mwili wangu bila ya ganzi, damu nyingi sana zilinitoka mpk kupoteza fahamu...

ckujua tena kilichoendelea kwa muda wa cku mbili... nilivyopata fahamu nilikua dhaifu sana. cwezi kucheza tena na wenzangu, cwezi kwenda shule, nilikua mtoto wa kukaa ndani mpaka mwezi ulivyoisha...

hivyo ndivyo nilivyonusurika na kifo baada ya kufanyiwa tohara, sasa naishi kwa matumaini kama wanawake wengine, mume wangu amenikubali hivihivi nilivyo...

nailaani tohara mwanzo na mwisho, nawalaani mangariba wote...

So sad....polee sana!! siku chache zilizopita niliona clip ya kitoto cha kike kikifanyiwa tohara. Its very bad, ni maumivu makali sana ambayo nadhani hayaelezeki. its UNACCEPTABLE.
 
Pole SUZANE nimejikuta nalia baada ya kusoma mkasa wako, na Mungu amjaalie kheri na baraka shem aliyekukubali kama ulivyo, pole sana
 
Last edited by a moderator:
Inataka ujasiri kuzungumza alichozungumza Suzane. Pole, hongera kwa sharing na asante kwa kufungua macho ya wengi juu ya huu ukatili wanaofanyiwa dada zetu na watu wanajinadi kutunza mila. Ni maombi yangu kuwa usaidie kwa karibu harakati za kuutokomeza ukatili huu kwani ni makabila mengi yana-practice mila hii chafu na unajua wakati mwingine si kwamba wanaofanya hivyo hawajulikani ila wanafumbiwa macho na walioko madarakani.

Pole zangu maalum kwa wadada wote waliofanyiwa vitendo hivi wakijua au wasipojua (maana naambiwa wengine hukeketwa wakiwa wadogo ili serikali isijue).
 
Ukienda vijijini huko, Tz kuna mila nyingi mbovu zinazonyanyasa wanawake na ambazo hazitakiwi kuwepo. tatizo, unakuta wanawake ndio wapo mbele kuzishabikia. nilisikia watu wanakeketa wtt wa kike ili wawapunguzie tamaa na hamu ya kufanya mapenzi. huko ni kumuondolea mtu haki yake ya msingi kabisa katika maisha. pole sana dada
 
Watu hawajui mm nilikua na dem kakeketwa nimtamu hata mwenye king'amuzi hutomtaka hawana mabwawa
 
Tamaduni zingine tuziandike tu iwe historia.
Mi nakumbuka siku nilipotahiriwa ambapo govinda langu lilifyekwa pyuu... hadi leo nimebaki kichwa wazi... dah..

Umenifanya nicheke...nikupe pole na wewe?
 
Pole SUZANE nimejikuta nalia baada ya kusoma mkasa wako, na Mungu amjaalie kheri na baraka shem aliyekukubali kama ulivyo, pole sana

thnx my lov
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndg kwa ukatili uliokumbana nao ktk umri mdogo wa kutafakari upendo wa wazazi. Wasamehe bure kwani wengi wao hawajui wanalofanya ila wanasukumwa na mazoea.

Mbona Wanaume kutahiriwa hatusemi kuwa ni ukatili..?? na kwa nini wanawake wanawapenda wanaume waliotahiriwa???

Mi naona hii isiwe upande mmoja tuu, tuanagalie pia na upande wa pili. Aliyetahiriwa na asiyetahiriwa wote tuchukilane sawa tuu, sio eti mwanaume ambaye hajatahiriwa hafai ila aliyetahiriwa anafaa na mwanamke aliyetahiriwa hafai na ambaye hajatahiriwa ndo anafaa.

kama ni maumivu wote hupata maumivu na hatari ya kufa na maambukizo mengine hasa kama kitendo kimefanyika bila ganzi na kwanjia ambayo sio safi.

Mi naamini kabisa kuna wanawake ambao wanakubaliana na tohara ya kike, kama vile ambayo nnaamini kuwa kuna wanaume waliofanyiwa tohara na hawakubaliani nayo. nadhani cha msingi hapa ni kwamba mtu afanye kwa ridhaa yake katika umri unaofaa (sio utotoni) na kitendo kifanyike hospitali mazingra safi na ganzi kama wanaume wanavyofanyiwa.
 
Umenifanya nicheke...nikupe pole na wewe?

Kwa hakika mpe pole na wala usicheke maana kutahiriwa bila ridhaa yako si kitu kidogo, tusione tu kutahiri wanawake ndo ukatili hata wanaume pia ni ukatili. Mfano kama Suzane hap juu angekuwa mtu mzima na kakubali kwa ridhaa yake sidhani kama ingekuwa ishu kubwa, ila kwa kuwa alikuwa mtoto na hakuwa na uwezo wa kuamua otherwise hapo ndo penye tatizo. Mpe Pole tena kubwa sana bwana Tuko.
 
Naikumbuka siku ile nilipoitwa nyuma ya nyumba kule kijijini kwetu. nikaambiwa nitanue miguu then wabibi flan wakanitazama kwa makini sana, ckujua kitu kilikua kinaendelea....

Baada ya cku kadhaa, asbh sn nikaamshwa nikavalishwa kanga moja inatopita shingoni, kwetu inaitwa (maleleta)

safari ikaanza kuelekea msituni kwa kua nilikutana na wenzangu kama 10 hivi tuliiokua tunasoma pamoja darasa la pili sukuogopa wala kujali chochote.

Baada ya muda tulilifikia pori fulani walilokua wameandaa hapo tukawekwa mapumziko.

Haikuchukua muda akachukuliwa wa kwanza..., 2, 3 ... lkn hawakurudi pale tulipokua, mimi zamu yangu ilikua ya sita...
Niliingizwa kwenye pori lililojitenga, nilianza kupata hofu baada ya kumuona bibi mmoja akiwa amelowa damu karibia mwili mzima, mama mmoja akanivua ile kangha yng, nikaanza kulia, nikitaka kukimbia lkn ckufua dafu...

nikakukumbuka wazazi wangu waliofariki, nilimwita mm yng aniokoe lkn hakutokea, hakukua na msaada wowote ule kwa wakati ule...

nililazwa chini, nilimuona yule ngariba akiwa na kisu kilichopinda kdg mithili wa vile vya kukatia majani, akanisogelea na kupeleka mkono wake moja kwa moja kwenye papuchi yangu, huku nikiwa chini nimeshikiliwa siwezi hata kujitingisha nilisikia maumivu makali yakipenya ktk mwili wangu, ngariba alikua anakiondoa kiungo kimoja kwenye mwili wangu bila ya ganzi, damu nyingi sana zilinitoka mpk kupoteza fahamu...

ckujua tena kilichoendelea kwa muda wa cku mbili... nilivyopata fahamu nilikua dhaifu sana. cwezi kucheza tena na wenzangu, cwezi kwenda shule, nilikua mtoto wa kukaa ndani mpaka mwezi ulivyoisha...

hivyo ndivyo nilivyonusurika na kifo baada ya kufanyiwa tohara, sasa naishi kwa matumaini kama wanawake wengine, mume wangu amenikubali hivihivi nilivyo...

nailaani tohara mwanzo na mwisho, nawalaani mangariba wote...

pole sana Suzane.
 
Dangire 15:17 Today
pole sana dada kwa mkasa huo.nakushauri ujiunge na
wanaharakati wa kupinga unyama huo (ikiwa ni pamoja
na TAMWA) ili kukomesha hili. by the way, nakuhurumia
pia wakati uwapo faragha na mumeo. nahisi (kama
tunavyosoma athari za FGM) husikii ile raha ya hadi
'kisogoni'. waweza tupa evidence katika hilo? mumeo
hana shida kwani hamna tofauti ktk starehe anayoipata -
ni ile ile.

kiukweli kbs, kuhusu raha ya tendo la ndoa ukilinganisha na wanawake wengine ni mara chache sana naisikia, kwakua kila mara mumewangu akitaka kupeleka mkono nakosa amani kbs

pole sana once again,naamin siku moja utasahau yote hayo nu kufurahiana wewe na mumeo.
 
yaani pole sana mamii .. mnara una raha yake asikuambie mtu ! unakosa chanel nyingi sana jamani...tbc,radio ya wafu,radio one hadi bbc ila bila mnara hata tbc inakwaruza mweee

we Smile wewe usitukumbushie kwa Suzane wetu.
 
ama...! kama kweli ni binadamu uliyekamilika, lazima utareact kwa hii story! yaani mwili umesisimka na machozi kunitoka. nikajikuta kama vile nafanyiwa mimi! pole sana dada, ingawa ni muda yamepita lakini wamewaharibu kisaikolojia! jamani...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom