Jinsi nguvu ya Marekani inavyoanguka taratibu duniani

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Wasalm alaykum tena wana Jf.
Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization.

Ndio, bwana Xi Jingpin amekusanya kila mwenye nguvu kutoka Russia kwa Vladimir Putin, mashariki ya kati kwa Ayatollah Ali Khamenei, Recep Tayyip hadi kule Asia kwa Kim Jong Un na wazir mkuu matata kabsa wa India Narendra Modi.

Hakuishi apo amekusanya Stan zote hapa nazungumzia Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uzbekistan na Tajikistan.

Jeuri kabisa aliyoifanya amepokea meli za mafuta ghafi ya urusi wazi wazi tangu kuanza kwa vikwazo mwaka 2023 vya US na EU kwa urusi.

US atajibu vipi ni suala la kusubiria na kuona
 
Ni kweli US ataanguka

Ila kinachonishinda mimi kwa hawa wazungu wa American people USA, ni pale nchi yao iko na watu kama 200M, na ndo inaongoza dunia kwa kila kitu

Halafu inayoifukuzia, inawatu zaidi ya 1.b, hapo kuna uwiano kweli?
 
Wasalm alaykum tena wana Jf.
Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization.

Ndio, bwana Xi Jingpin amekusanya kila mwenye nguvu kutoka Russia kwa Vladimir Putin, mashariki ya kati kwa Ayatollah Ali Khamenei, Recep Tayyip hadi kule Asia kwa Kim Jong Un na wazir mkuu matata kabsa wa India Narendra Modi.

Hakuishi apo amekusanya Stan zote hapa nazungumzia Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uzbekistan na Tajikistan.

Jeuri kabisa aliyoifanya amepokea meli za mafuta ghafi ya urusi wazi wazi tangu kuanza kwa vikwazo mwaka 2023 vya US na EU kwa urusi.

US atajibu vipi ni suala la kusubiria na kuona
Ni ngum sana marekani kushishwa kaka
 
Marekani ni nchi iliyojifunza kutoka kwa uingereza after 1945 ukweli USA yupo pale na atakaa pale kwa miaka mingi Sanaa chochote kinachofanywa na Israel, Ukraine na mataifa ya magharibi marekani ndo kaaguzaa na ndo nchi yenye nguvu kwa kila kitu duniani
 
Back
Top Bottom