mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,702
Midundo (beats) na sound truck nyingi zinazotumika Makanisa mengi huhamasisha wanaume na wanawake kutikisa eneo la kiuno.
Jambo hili hufanyika voluntarily au involuntarily.
Ukiona mziki unapigwa kanisani na mwitikio wako ni kunesa na kunengua kimwilimwli au kimoyomoyo jua unaandaliwa kumuabudu Mungu kupitia ngono.
Ukiona waimbakwaya au waongoza nyimbo wako na vimini, makwapa nje, mstari unaotenganisha matiti uko nje unaandaliwa kumuabudu Mungu kupitia ngono.
Kwa nini shetani anafaulu kuteka waumini kupitia ibada ya ngono?
BIBILIA INASEMA ZINAA HUONDOA FAHAMU.
hivyo fikra zikiwazishwa Kwa mwelekeo wa ngono ufahamu unashuka.
Matokeo ya kushuka ufahamu huwa makubwa na ya upesi ikiwa ibada za hamasishi ngono zitachangamana na Misisimko.
Majini hupenya na kufanya kazi Kwa waumini Kwa wepesi wanaposhuka ufahamu na kujazwa Misisimko.
Matokeo
Watu kutapeliwa
Kulishwa vitu vya ajabu
Kumuogopa mkuu wa Dini kuliko Mungu
Kutosikia maonyo hata utumiwe Malaika (kichwa ngumu)
Unajiweka hatarini kutolewa kafara, kuwa kiti cha shetani, etc
"Linda sana moyo wako (akili) maana humo ndimo ilimo chemichemi ya uzima.