Jinsi ngono ilivyo kiini cha miziki mingi ibadani

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Midundo (beats) na sound truck nyingi zinazotumika Makanisa mengi huhamasisha wanaume na wanawake kutikisa eneo la kiuno.

Jambo hili hufanyika voluntarily au involuntarily.

Ukiona mziki unapigwa kanisani na mwitikio wako ni kunesa na kunengua kimwilimwli au kimoyomoyo jua unaandaliwa kumuabudu Mungu kupitia ngono.

Ukiona waimbakwaya au waongoza nyimbo wako na vimini, makwapa nje, mstari unaotenganisha matiti uko nje unaandaliwa kumuabudu Mungu kupitia ngono.

Kwa nini shetani anafaulu kuteka waumini kupitia ibada ya ngono?

BIBILIA INASEMA ZINAA HUONDOA FAHAMU.
hivyo fikra zikiwazishwa Kwa mwelekeo wa ngono ufahamu unashuka.

Matokeo ya kushuka ufahamu huwa makubwa na ya upesi ikiwa ibada za hamasishi ngono zitachangamana na Misisimko.

Majini hupenya na kufanya kazi Kwa waumini Kwa wepesi wanaposhuka ufahamu na kujazwa Misisimko.

Matokeo

Watu kutapeliwa
Kulishwa vitu vya ajabu
Kumuogopa mkuu wa Dini kuliko Mungu
Kutosikia maonyo hata utumiwe Malaika (kichwa ngumu)
Unajiweka hatarini kutolewa kafara, kuwa kiti cha shetani, etc

"Linda sana moyo wako (akili) maana humo ndimo ilimo chemichemi ya uzima.
 
Daa siku moja church likapigwa amsha mbele kuna mdada daa akiyumba linatikisika. Acha bwana hii miziki ya church now sioni baraka zake naona kama shetani ndo ameingia church kwa mlango wa miziki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma daniel 3, kabla ya watu wote kudujudia sanamu (shetani) ilinza miziki ya kila namna.

Ndivyo inavyotokea kabla ya kurudisha mwana wa Adam.

Huu hizo Ngoma Hasa rock sio ingizo LA bahati mbaya, ni calculated move toward devil worshiping
 
“Mmesikia walivyowafundisha watu wa zamani kwamba, ‘Usi zini’. Lakini mimi nawaambia: ye yote atakayemwangalia mwa namke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Mathayo 5:27-28
Asante
Mwanamke anakata mauno mbele yako huku nyonyo zinarukaruka.
Wakati huo frequency za PA system ziko beyond torelable limit lena midundo sisimshi.

Kwa andiko Hilo tu watu wanazini mioyoni.

Miziki na midundo inayohamasisha zinaa ikichanganywa na maneno ya Mungu haiifanyi kuwa Miziki ya Mungu.

Leo nimesikia mziki with RC wa mambo ya mapenzi wamenyofoa tu maneno ya ngono na kupachika Yesu.

Hii ni machukizo Kwa Bwana
 
Wasabato hamna tofauti na Mafarisayo, mpo busy na kushika sheria na kukosoa RC.

Hizo sheria zitawapeleka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Midundo (beats) na sound truck nyingi zinazotumika Makanisa mengi huhamasisha wanaume na wanawake kutikisa eneo la kiuno.

Jambo hili hufanyika voluntarily au involuntarily.

Ukiona mziki unapigwa kanisani na mwitikio wako ni kunesa na kunengua kimwilimwli au kimoyomoyo jua unaandaliwa kumuabudu Mungu kupitia ngono.

Ukiona waimbakwaya au waongoza nyimbo wako na vimini, makwapa nje, mstari unaotenganisha matiti uko nje unaandaliwa kumuabudu Mungu kupitia ngono.

Kwa nini shetani anafaulu kuteka waumini kupitia ibada ya ngono?

BIBILIA INASEMA ZINAA HUONDOA FAHAMU.
hivyo fikra zikiwazishwa Kwa mwelekeo wa ngono ufahamu unashuka.

Matokeo ya kushuka ufahamu huwa makubwa na ya upesi ikiwa ibada za hamasishi ngono zitachangamana na Misisimko.

Majini hupenya na kufanya kazi Kwa waumini Kwa wepesi wanaposhuka ufahamu na kujazwa Misisimko.

Matokeo

Watu kutapeliwa
Kulishwa vitu vya ajabu
Kumuogopa mkuu wa Dini kuliko Mungu
Kutosikia maonyo hata utumiwe Malaika (kichwa ngumu)
Unajiweka hatarini kutolewa kafara, kuwa kiti cha shetani, etc

"Linda sana moyo wako (akili) maana humo ndimo ilimo chemichemi ya uzima.
Mambo moootoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasabato hamna tofauti na Mafarisayo, mpo busy na kushika sheria na kukosoa RC.

Hizo sheria zitawapeleka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya malalamiko na tuhuma ni mazuri kujadili ila hapa sio sehemu yake.

Yawezekana umjue farisayo kwanza na Wasabato wanaoamini nini ili uwe na upeo mwingi wa kuwekea nyama hoja yako.
 
Na kikwenu wewe kutikisa kiuno tu ni ngono???Unazijua tamaduni zoote na mapokeo/imnai/mitazamo yao?Unajua hata maana ya muziki?
"mnajua sana mpaka mnakosea".

Ili Wana waisrael ili wakosane na Mungu wao Nabii wa uongo Balam alimshauri Balak adui wa Israel kufanya yafuatayo.
1: kutafuta wanawake wazuri sana
2: kuweka miziki maalumu
3:kuandaa na mivinyo (ulevi)
Kisha awaalike waisrael ni lazima automatically waabudu miungu mingine (mashetani).

Na ndivyo ilivyokuwa.

Hata ili waabudu ndama vzr miziki ipumbazayo isiotoa mwanya wa kutafakari ilikuwa sehemu ya Ibada Ile.

Ndivyo ilivyo Sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom