Daaaah nmecheka knoma 😂😂😂😂😂😂
Aisee
Yaani hii nchi imekuwa na vijana wa hovyo mpaka wanakubali kukamatwa na mgambo?
Enzi zetu mgambo alikuwa na kazi ya kulinda sokoni na stendi ya basi
hizi simu janja zimewafanya mafala sana
Nimemnyoosha kweli kweli. Nitaleta mrejesho na picha kabisaaaAisee na ukamuacha? Ulivyorudi kitaa hauku mtega? Mambo ya Kuabishana au kuosheana nishakataa siku nyingi.
Sijui,lakini kwa jinsi ilivyo Bora wanangu nilime nao kuliko kuwa maaskari,noma,noma!Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.
Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.
Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
tupe mrejesho . ulishamfanya nini mgamboNdugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.
Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.
Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
tupe mrejesho . ulishamfanya nini mgambo
Mgambo ni wapuuzi tu kama wapuuzi wengine. Kama ni mafunzo ya kuzuru Raia basi itakuwa kwa kina mama na watoto.Usijaribu kumpiga mgambo maana nasikia Wanamafunzo makali ya kuzuri raia.
Mambo mengi mkuu ila nikikaa sawa ntaleta tuVipi mkuu lete mrejesho au ulipigwa ww🤣
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.
Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.
Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.
Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.
Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Asante mkuuPole mkuu,nimecheka kama mazuri
Script ya kunitwanga mikofiiii?Sio mtu mbaya, bora kakuzalilisha kwa askari wasio na maana Kwako kuliko angefanya kwingine, kacheza tu script kuonyesha yuko kikazi, ingekuwa Mimi ni Wewe nisingekuwa na kinyongo hata kidogo!
Ni wapi huko mgambo anapokuwa na nguvu ya kumkamata mtu kama askari polisi.Inategemeana na mazingira mkuu, huku kwetu ukigoma watakuja hata mgambo wa 5 watakunyoosha hatariii. Pia askari ni kama wamewakabidhi mgambo ofisi.
Ni wapi huko mgambo anapokuwa na nguvu ya kumkamata mtu kama askari polisi.
Mimi nilijua kazi ya mgambo ni kufukuzana na watu wa sokoni wanapopewa kibali maalumu cha kufanya hivyo.
Hili,limewahi kunitokea kiburugwa magenge 20,nitukio ambalo siwez lisahau.Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.
Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.
Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Ilikuwaje mkuu?Hili,limewahi kunitokea kiburugwa magenge 20,nitukio ambalo siwez lisahau.
Wema uliniponza.
Huo ndio uanaume!Ntamnyoosha qmamae zake. Watamtangaza.