Jinsi Mgambo alivyonidhalilisha mbele ya Askari Polisi

Ilikuwaje mkuu?
Ilikua mwak 2013,naishi uswahilin kiburugwa.
Siku kumoja kulikua na mnanda mtoto wa mwenye nyumba alirudi amelewa hoi taaban ,kutokana kuzidiwa na pombe alishindwa kuingia ndan akaanguk nyuma y nyumba ambapo ni uchochoroni.
Alipita jamaa mmoja ambae simjui Kwa maelezo aligonga hodi Na kuniambia rama yupo hapo nyuma amelala Sasa kama inawezekana msaidie aingie ndani .
Mim kutokana nmjua ni kijana wa hapo nyumban ,sikuwaza sana nikafika hapo alipo na kumbeba kumueka ndani.

Mazingiza ya nilipomkuta,pembeni kulikua na kepu na wallet Kwa pembeni, nikaikagua Ile wa wallet ilikua na elf15.
Ile wallet na kepu nikavihifadhi ili kesho asubuh atakapokua yupo saw nimkabiz.
Ikatim asubuh,nikaonana nae,wakati huo yupo na mam yake ambae Sasa anamsimulie kua mm ndio niliempa msaada wakuingia ndani kutokana na Hali yake ilivyokua mbaya!.
Jamaa kiroo safi pale,ananipa shukrani ya ule msaada,baada ya hapo nikamwambia Nina baadhi ya vitu vyako hapa,je unaweza kukumbuka ulikua na nn!?
Jamaa akaniambia Tena Kwa shauku kua wewe usiwe na wasi Kwa wakat ule Kwa kweli siwez kumbuka ww nipe tu haina shida.
Yule jamaa nikamkabiz kepu yake na wallet yake.
Ile wallet akaifungua na kuikagua palepale jamaa akaanza kunitilia mashaka kua nimemuibia pesa zake.
Jamaa analalamika mbel ya mama yake pale kua kapoteza jembe lake,akimaanisha pesa yake ya mtaji.
Nikamuuliza kwani kabla ulikua kua na kias Cha shlng ngap.
akasema elf65.
Mm palepale nikamjib kua hicho ndicho nilichokuta ktk wallet Yako, Lakn kabla sijajua yko huko uwani Kuna aliekuja kunipa taarifa kua hujiwez mm Nike nikupe msaada,jamaa Kwa ukali akanijib bora ungeniacha tu.
Huyo tu alietoa taarifa hataki kukubli kama anaweza kumfanyia vibaya,kwaiyo mm ule msala nikaubeb Mimi.
Wakat mda unaenda nikaacha zogo pale kat ya mama huyo jamaa mlevi na kaka zake wakiwa wananisapot mm kua siwez kumuibia.
Nikatoka zangu kuelekea kibaruani,jioni narud nakuta ujumbe natafutwa .
Sikuekea manani nikaenda zangu kuchota maji Kwa jirani mara ule ugeni huu hapa.
Wakajitambulisha,wao ni akina nani na dhumuni lakufatwa ni nn no kaona saw haina shida.
Tukaongozana mpaka kituoni saa 3 usiku,lakin kama bahat wakat natoka na wale polissungusungu Kuna kaka wahuyo mlevi aliniona,akawa anasema unaenda wapi nikamjibu mdogo wako ndio kanishtaki Sasa fanya ufike.
Tulivyofka pale kituoni aisee wale jamaa wakanibadilikia kwida suruali Kwa nyuma sijui vua viatu mara vua mkanda mwingine aseme lake.
Pale kesi ikageuzwa kua mm ni kibaka,nafokoa askari wa kilewa,wanaosema hayo Ni askari kabisa.
Naambiwa ingia ndani hutoki mpaka urudishe pesa za Watu mara kafakia sungusungu hata mm nilisachiwa na mtu kama huyu,aisee awe fundisho Kwa wengine huyu.
Kwa kweli niliishiwa nguvu Yale yanayotamkwa yanavyoshikiliwa bango niwazi sitoboi kwanza hupewi nafasi uongee wanaongea wao tu.
Nikakaa sana ,ilipo timu sa 5 ,mama mwenye nyumba akaja pamoja na kazake yule mlevi ,wakanitoa pale wakisema tutaenda kuliongea hili kifamilia. Ila jamaa alikua hataki mm nitoke,nimshukur sana yule mkuu wakituo alikua ni mkuu simpo na anaelewa tatiz lipo Kwa Hawa wadogo ambao asipo kuepo kituo kinasov matatiz kimatatizo zaidi.
Mwishi wa siku Yale yaliisha baba mweny nyumba nae alirudi safar yake akasema mm ni simlipe .

Mazingiza ya nilipomkuta,pembeni kulikua na kepu na wallet Kwa pembeni, nikaikagua Ile wallet ilikua na elf15.

Ikatim asubuh,nikaonana nae,wakati huo yupo na mam yake ambae Sasa anamsimulie kua mm ndio niliempa msaada wakuingia ndani kutokana na Hali yake ilivyokua.

Jamaa analalamika mbel ya mama yake kua kapoteza jembe lake,akimaanisha pesa ya mtaji.

Mm palepale nikamjib kua hicho ndicho nilichokuta ktk wallet Yako, Lakn kabla sijajua yko huko uwani Kuna aliekuja kunipa taarifa kua hujiwez mm nikupe msaada,jamaa Kwa ukali akanijib bora ungeniacha tu.

Huyo tu alietoa taarifa hataki kukubli kama anaweza kumfanyia vibaya,kwaiyo ule msala nikaubeb Mimi.

Wakajitambulisha,wao ni akina nani na dhumuni lakufatwa ni nn nkaona saw haina shida.

Naambiwa ingia ndani hutoki mpaka urudishe pesa za Watu mara kafokoa sungusungu hata mm nilisachiwa na mtu kama huyu,aisee awe fundisho Kwa wengine huyu.

Nikakaa sana ,ilipo timu sa 5 ,mama mwenye nyumba akaja pamoja na kakazake yule mlevi ,wakanitoa pale wakisema tutaenda kuliongea hili kifamilia. Ila jamaa alikua hataki mm nitoke,nimshukur sana yule mkuu wakituo alikua ni mkuu simpo na anaelewa.
tatiz lipo Kwa Hawa wadogo ambao asipo kuepo kituo kinasov matatiz kimatatizo zaidi.

Mwisho wa siku Yale yaliisha baba mweny nyumba nae alirudi safar yake akasema mm ni simlipe .

Imekua funzo mpaka kesho,nikukute unakufa hapo mm napita kama sikuon,ntasubiria taarifa zako Kwa wengine aidha mtandaoni.
 
Mkuu pole sana, hawa mgambo ni washenzi sana.
 
Back
Top Bottom