Jinsi Mgambo alivyonidhalilisha mbele ya Askari Polisi

Mgambo sawa na madalali tu. Huwa na kauli nzuri sana wakitaka lao ila yao yakitimia hawakujui tena.

Dawa yake huyo usimuonyeshe kuwa umemmaindi. Kama mlevi siku mualike bar halafu umpige ofa. Akilewa unampeleka chobingo unampiga mitama ya haja.
We subiri mrejesho.
 
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.

Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.

Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.

Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Hiyo staili ya kushikwa suruali kwa nyuma na kumtembelea vidole kwetu tunaita "mkubeto" unaumiza pumbu sana huo mkubeto
 
Sawa mheshimiwa Mgambo. Reasonable force inaanza kutumika kituoni? Tena mbele ya askari? Reasonable force eehh? NTAMNYOOSHA

Umekosea halafu unataka kukosea tena. Achana na kisasi maisha lazima yaendelee, utawanyoosha wangapi mkuu? Manake wanaokukwaza ni wengi.
 
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.

Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.

Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.

Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Hasira na chuki humchoma yule anaye ihifadhi..
 
Dogo ukapigwa Tanganyika jeki 😁😁😁 huna lolote la kumfanya ni sawa na mbwa koko tu anaebweka si ajabu next time akakushika matako na usimfanye chochote😁😁😁 utaishia tu kusema ntamnyoosha qmmk wallahi😁😁😁🤣 wanaume wa dar bhana🚮🚮
 
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.

Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.

Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.

Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Nimecheka sana,😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom