Jinsi Mgambo alivyonidhalilisha mbele ya Askari Polisi

Mi mwenyewe Niko vizuri mkuu, nammudu yule, subiri mrejesho tu
 
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.

Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.

Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.

Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Nimecheka kama mazuri🤣🤣🤣!

Hao wanaitwa viherehere, hapo mwenzako alikuwa akitafuta sifa kwa maboss wake hao Polisi.

Yaani hii tabia ya kinafiki ndiyo inayozaa machawa wengi unaowaona leo kwa sura na sifa mbali mbali, msingi wake ni huo.

Anajipendekeza hivyo ili penye macho ya boss zake aonekane bingwa, shupavu, mwenzetu, mtu wetu na ujinga mwingine wa aina hiyo nk nk.

Cha kushauri, kama jambo hilo limetokea na likaisha acha kuliendeleza kwa visasi mshukuru Mungu.

Maana yangu si kumuogopa mgambo, bali ni kwamba dunia hii imejaa vyanzo vingi sana vinavyovutia watu kuingia matatizoni, hasa matatizo yanayoleta majuto makubwa sana baadaye.
 
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.

Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.

Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.

Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Msamehe tu ni mtu dhaifu huyo.

Nilikuwa sijui kama mgambo wanaweza kupeleka mtu Police.
Wale si wako chini ya Halmashauri?
 
Haina shida ila Ntamnyoosha
Next time atakufira...yaan wanaume wa dar ni usenge mtupu,unaonewa halaf unatulia tu unakuja kubwabwaja nyuma ya keyboard utamnyoosha...ungemnyoosha palepale kama kwel we mwamba!!! Yaan unashikwa matakoni kiunon na mwanaume mwenzako we umetulia tu...fala ww🚮🚮🚮
 
Mbona umekasirika sana mkuu? Njoo na wewe akushike sasa kama ni raha. Alaaaaaa
 
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.

Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.

Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.

Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Daaaah nmecheka knoma 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom