Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,625
- 9,318
Utapigwa tanganyika jeki hadi suruali na chupi vinaingia na kuzama matakoni. Badala ya kutembelea vidole utatembelea kucha!Ntamnyoosha huyu mgambo kwanza
Utapigwa tanganyika jeki hadi suruali na chupi vinaingia na kuzama matakoni. Badala ya kutembelea vidole utatembelea kucha!Ntamnyoosha huyu mgambo kwanza
Mgambo wanapiga kuliko askari, wanakua kama mbwa yule anayepewa amriTatizo ni wewe kukubali kuwa mnyonge kisa upo polisi. Alivyokugeuka na kuwa aggressive baada ya kuona polisi na wewe ungemjaza upepo.
Kwenye mitikasi ya maisha lazima ujue kumjaza mtu upepo. Mimi kuna siku nilikuwa taasisi moja ya serikali muda ambao hauruhisiwi, nilikuwa sijui sasa wale walinzi wa Suma JKT wakataka wanipeleke polisi baada ya mimi kuanza kuwatukana kutokana na majibu yao mabaya. Niliwajaza upepo kama dk 10 wakapiga simu polisi gari iletwe kuna mtu analeta fujo, kwakuwa nilikuwa sijavunja sheria yoyote nikatoka nje ya geti nikawaambia kesho narudi.
Kesho yake nikarudi tena nikawakuta nikapita bila kuwaambia naenda ofisi gani na hakuna aliyenihoji tena maswali yao ya kijinga.
Huna lolote wala usitutishe!Dah! Yaani..... Ila ntamnyoosha. Ni suala la mda tu.
Haina shida ila NtamnyooshaDogo ukapigwa Tanganyika jeki 😁😁😁 huna lolote la kumfanya ni sawa na mbwa koko tu anaebweka si ajabu next time akakushika matako na usimfanye chochote😁😁😁 utaishia tu kusema ntamnyoosha qmmk wallahi😁😁😁🤣 wanaume wa dar bhana🚮🚮
Kwahyo una m support?Utapigwa tanganyika jeki hadi suruali na chupi vinaingia na kuzama matakoni. Badala ya kutembelea vidole utatembelea kucha!
Subiri mrejesho ITV au Millard Ayo. NtamnyooshaUmekosea ilitakiwa umpige ngumi za kutosha na mtie madole mbele ya hao ngadu...
Anyway sasa make sure unamuua hawez kukudhalilisha kiboya hvyo mwanaume... Kill him
Fisi ananguvu mno.... UsimdharauKwa maelezo haya We ni fisi tu huna unachoweza kumfanya si ajabu ukikutana nae utakua unakimbia
We ni mgambo?Huna lolote wala usitutishe!
😂😂😂😂😂Ntamnyoosha. Mtapata mrejesho kama sio ITV basi Millard Ayo.
Acha kutuvunja mbavu yani ulishindwa kugoma kwako nyumbani dhidi ya mgambo leo ashakufikisha kituoni tena juu juu harafu unasema utamnyosha mtaani😂😂😂😂Subiri mrejesho ITV au Millard Ayo. Ntamnyoosha
Sio kwamba nilishindwa kugoma, mi niliitikia wito vizuri tu, na tulienda kituoni huku tunazungumza, cha ajabu ameona maafande akangeuka, NTAMNYOOSHA😂😂😂😂😂
Acha kutuvunja mbavu yani ulishindwa kugoma kwako nyumbani dhidi ya mgambo leo ashakufikisha kituoni tena juu juu harafu unasema utamnyosha mtaani😂😂😂😂
Hapana mkuu.Kwahyo una m support?
👍Hapana mkuu.
Mkuu Witch hunter pokea ushauri kwa mtu asiye na mbele wala nyuma hapa, ila akili za kuambiwa changanya na za kwako.Huyo mi nisingelala kabisa mpaka nimalizane nae kwake kabisa
Unapataje usingizi mtu kakufanyia mangesa ya hovyo hiyo
Fata hata na panga kama mbavu huna au rungu
Adhabu yako mahakaman itakuwa miez mitatu au 6 lakin utatoka tu ila huku hakikisha mtu anakuwa mlemavu na anapoteza sifa za kuwa mgambo ulemavu kwanza
Mi nimejipanga, mbinu zangu ni zaidi ya hizo, ntamnyonga taratibu na hakuna mtu atajua, ni vyombo vya Khabari tu vitatangaza.Mkuu Witch hunter pokea ushauri kwa mtu asiye na mbele wala nyuma hapa, ila akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Pole sana mkuu....nimeumia sana sana....sipendi uonevu hataNdugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo cha polisi akanipa na sababu ya wito, basi sikuwa na hiyana nikamwambia twende. Kwa kuwa nafahamika hapa mtaani hakuona haja ya kunifunga pingu kama wahalifu wengine hivyo tulitembea mdogo mdogo kuelekea kituoni huku tukipiga story mbili tatu maana ni mtu tunayejuana.
Cha ajabu tulipokaribia kufika kituoni, na baada ya kuona askari pale kituoni, mgambo yule alinigeukia na kuniuliza kwa ukali “unataka kugoma? Unataka kugoma? Hata wale askari walimsikia. Kabla sijamjibu akashika suruali yangu kwa nyuma akaniinua nikaanza kutembelea vidole, kisha akaanza kunipiga huku tukielekea kuingia kabisa kituoni tena mbele ya askari.
Sikutaka kufanya fujo maana askari wa Bongo nawajua, ila nimemtunza tu huyu mgambo. Ipo siku mtamsikia kwenye vyombo vya khabari. I SWEAR ON MY LIFE.
Pole sana mkuu....nimeumia sana sana....sipendi uonevu hata