COMFORT JAFFER
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 214
- 94
Ngoja tuwasikie...watu na vyuo vyao
Mimi sipo kule SAUT lakini wale jamaa wako vizuri, ata Lecturers wao wako vizuri. Sometime tupende kusema ukweli
Ngoja tuwasikie...watu na vyuo vyao
Hebu acheni mbwembwe na mikwara ... Udsm mbona imetoa vilaza wengi ambao hata akili ya kujiongeza kutafuta pesa wameshindwa zaidi ya kulialia na serikali na kung'ang'ania siasa?..hahahaha hayo sio mapenzi..
hako ka bwana kake huenda kalisoma RUCCO kana chuki na UDSM
FACT: Degree moja ya SAUT ni sawa na course outline ya semester moja UDSM
inamaana kama unasoma kozi ya miaka mitatu basi una degree SITA za SAUT
kama minne basi unazo NANE za SAUT.
hahaha natania
Yudizim---_ U dsm,Hahahahahaahahahha yudizim ukailinganishe na sahuti..... Hata mm ingawa sipo kati ya hvyo vyuo ila sisapoti kwakweli
Hahahahahahahhahahhhhh gotcha mkuuuYudizim---_ U dsm,
Sahuti----- SAUT
Usiwajaze nyembe watu broo,watakuchomoa mtima sema kukupata ndio issuehahahaha hayo sio mapenzi..
hako ka bwana kake huenda kalisoma RUCCO kana chuki na UDSM
FACT: Degree moja ya SAUT ni sawa na course outline ya semester moja UDSM
inamaana kama unasoma kozi ya miaka mitatu basi una degree SITA za SAUT
kama minne basi unazo NANE za SAUT.
hahaha natania
hahaUsiwajaze nyembe watu broo,watakuchomoa mtima sema kukupata ndio issue
ni kweli, kwa hilo paja, atakuwa amepata AAAA zote. na degree yenye chuo chene maprof hawazidi watano, itakuwa bora kuliko degree yenye maprof zaidi ya 20.ptyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyfffSAUT vs UDSM
![]()